Olele olele!
Olele Olele!
Nusu saa ya mshale, nusu suruali
Nusu kwenye glass, nusu Bob Marley
Niruhusu nisimame, nikuruhusu ulale
Olele olele!
Nusu saa ya mshale...olele
Nusu Bob marley....olele
Niruhusu nisimame.. olele
nikuruhusu ulale.. olele
Hey
Agizia kina Ritha margarita, usijafanye kama hujui kilichotuleta
Mawaidha kwenye party hapana kuleta,
Ila kama una maombi leta later
Njaa tulishaikimbiza ma'kilometa
Leo body nyeusi na inameta meta
Wakati wanajiuliza kupata punchline
Mi nafululiza kufanya hit song
Huku nikidunduliza so my money long
Na bado sijamaliza, so the party is on me
Michongo inawakimbiza usiwaone wako hoi
Usongo umenipitiliza, sherehe zikianzia Arusha kuelekea Ibiza...wee!
Vunja nazi navunja ma'viza
Nachana ma anga napasua giza...wee
Mi ni nuru so wale ni kiza
Makini na jesus
So bump the cheese up!...wewee!
Bump the cheese up!
Olele!
Nusu saa ya mshale, nusu suruali
Nusu kwenye glass, nusu Bob Marley
Niruhusu nisimame, nikuruhusu ulale
Olele olele!
Nusu saa ya mshale...olele
Nusu Bob marley....olele
Niruhusu nisimame.. olele
nikuruhusu ulale.. olele
Brand kubwa sio kitoto, na show ni cash si mikopo
Najenga nchi sitoi boko, sirikali mbwa koko
Tokea uswazi siachi ukoko, tokea mageto huu ndo mtoko
Matendo sina roporopo, you know we do this for the people
So pick chupa wape kopo, Eh sorry, kwa mabinti amsha popo
DJ, naskia rushwa inakarabati kila sekta, chalii ya arusha narusha tu kila bata
Na mambo ya maana tukumbuke tukila bata
Na ka' ni mambo ya kimsingi joh ni mentor
Na ka' ni mambo ya kipimbi mnaleta
Mtoto mkali mkibetua na m'benta
Na kesho morningi ndo mtagundua ilikua ni pentaa!
Makoromeo yanaita ni kiu, na kauli mbiu leo ni kutii...olelee
Bendera hewani simamisha mlingotiii..oleleee
Watu mtu kati ukuti hunikuti sikutii nakutia adabu
..ti..tia adabu
Nusu saa ya mshale, nusu suruali
Nusu kwenye glass, nusu Bob Marley
Niruhusu nisimame, nikuruhusu ulale
Olele olele!
Nusu saa ya mshale...olele
Nusu Bob marley....olele
Niruhusu nisimame.. olele
nikuruhusu ulale.. olele
Nusu saa ya mshale...olele
Nusu Bob marley....olele
Niruhusu nisimame.. olele
nikuruhusu ulale.. olele
Nusu saa ya mshale...olele
Nusu Bob marley....olele
Niruhusu nisimame.. olele
nikuruhusu ulale.. olele