Diamond - Nasema nawe

Haloo, mmh!
ah, kutwa kiguru njiani, majirani wote wamekuchoka
Mara chumba cha fulani, mtu gani we kwako usiokaa
washinda vibarazani, ya wenzako kuropoka
kwa kuwa umemuona fulani ona uso ulivyokukoboka
sio mwisho vibaoni, hadi kwenye vigodoro
usio na haya usoni, kote wazua migogoro
hivi wewe haujioni, kuwa una kasoro
Uso mchana jioni si wajuzi si tommorrow
Sio mwisho vibaoni, kwenye vigodoro
Usio na haya usoni, kote wazua migogoro
hivi wewe haujioni, kuwa unakasoro
Uso mchana jioni, si wajuzi si...
ah!

Nasema nawe
Nasema nawe
Nasema nawe

Uso haya nasema nawe
Umezoea....nasema nawewe
chezea chezea...nasema nawe
ah umezidi...nasema nawe
zidi....nasema nawe
zidi...nimechoka nasema nawe

Mh, mh
Ah! zingifuri zingifuri, ungezinga mahala ukaka
Usio mila desituri usiyejua tongozwa ukakataa
Usio hiana fedhuli uongo umekujaa
Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaa
Agah! Mwenzako mimi turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa
Tena jokari la nguvu makarata
lile hodari maguvu si kwasakwasa
Oh! mwenzako mimi turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu sio hozakosa

Nasema nawe
Nasema nawe
Nasema nawe

Uso haya nasema nawe
Nasema nawewe
Nasema nawe
Nasema nawe

Nimechoka nasema nawe
Umezoea...nasema nawe
chezea chezea....nasema nawe
ah! umezidi...nasema nawe
zidi...nasema nawe
Uso haya nasema nawe
Oh!...nasema nawewe

Nasema nawe
Nasema nawe
Nasema nawe