yeah yeah yeah yeah mhhh
nimekuwa kama samaki, kutamani nisivyoviweza
kama ni Tanga, niliapa nioe Muheza
na kama, kama bahati, mwenzenu nilishapoteza
siku hizi ujanja, ni kunywa mchuzi wa pweza
aii Haya maneno walinena wazee wa zamani
ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
Haya maneno walinena wazee wa zamani
ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
Masikini
roho yangu mimi
roho yangu mimi
roho yangu mi
mi niachie we nenda zako
Masikini
roho yangu mimi
roho yangu mimi
roho yangu mi
mi niachie we nenda zako x2
mhh
mujini msingi kiuno, kisha tendwa ndo bye bye
ya msondo mupe Ngurumo, hayo mengine hayamfai
mbona penzi limechacha [naye]
wacha niguse niachane [naye]
asinigande nigombane naye
hakuna mapenzi usibishane naye
aii, Haya maneno walinena wazee wa zamani
ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
Haya maneno walinena wazee wa zamani
ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
Masikini
roho yangu mimi
roho yangu mimi
roho yangu mi
mi niachie we nenda zako
Masikini
roho yangu mimi
roho yangu mimi
roho yangu mi
mi niachie we nenda zako x2