Moyo ulipenda, sikuwaza ingekua donda
mbali umekwenda haya
Moyo umependa, sikuwaza ingekua donda
mbali umekwenda haya
sitamani kubaki peke yangu, nalimisi pendo langu
nakukosa mpenzi wangu
sikutamani kubaki peke yangu, nalimisi pendo langu
nakukosa mpenzi wangu uh
nitalilinda penzi lako, liko jua bado mi ni wako
mwiko kulitoa penzi lako, sitoi
nitalilinda penzi lako, liko jua bado mi ni wako
mwiko kulitoa penzi lako, sitowi
baby naumia umia, kukosa mimi nalia nalia
naumia umia
baby naumia umia, kukosa mimi nalia nalia
naumia umia
im lonely lonely but dont call me single girl
dont call me single girl yeah
im lonely lonely but dont call me single girl
dont call me single girl yeah
mazoea yana tabu, kila siku majaribu
kukukosa ni adhabu uhh
mazoea yana tabu, kila siku majaribu
kukukosa ni adhabu uhh
nitalilinda penzi lako lipo, japo mpaka sasa sijui ulipo
zimebaki stori tu kweli haupo my baby
mpaka sasa sijui ulipo