Kwanza mapenzi safari, ujana ni maji ya moto
walinenaga zamani, mhhh
Pili tumetoka mbali, oh matatizo changamoto
ndo visa visa fulani, heeey
Oh, tatu kidonda chako kwangu maradhi
kwani tu usononekapo kwangu simanzi, ayi
Tatu kidonda chako kwangu maradhi
Oh yaani usononekapo kwangu simanzi
kwa mahaba uliyonipa, nimenogewa
vurugu patashika, ayi punguza kidogo
na mengine kadhalika, mtoto si unanielewa?
hapo hapo uliposhika, ukiongeza kidogo
mi mwenzako nitaumia
You're my number one
My sweetie sweetie
My number one
my baby-o
You're my number one
ah, my Darling!
My number one
Roho yangu mama
Na nna wivu sikatai
maana uchugu wa mapenzi naujua
so usije kunilaghai
Nikaja kuzama ukanizingua
Na nna wivu sikatai
maana uchugu wa mapenzi naujua
so usije kunilaghai
Nikaja kuzama ukanizingua
now show me how they do.....
now show me how you do....
baby you..
You're my number one
My sweetie sweetie
My number one
my baby-o
You're my number one
ah, my Darling!
My number one
Roho yangu mama
You're my number one
My sweetie sweetie
My number one
my baby-o
You're my number one
ah, my Darling!
My number one
oh Roho yangu mama
baby you're.... you are...