kimbaumbau kanenepa kawa tukunyema,
uhhh, kanenepa kawa tukunyema
kimbaumbau kanenepa kawa tukunyema
ati, kanenepa kawa tukunyema
kimbaumbau kanenepa kawa tukunyema,
uhhh, kanenepa kawa tukunyema
kimbaumbau kanenepa kawa tukunyema
ati, kanenepa kawa tukunyema
kimbaumbau kanenepa kawa tukunyema,
eti kapata na presha anahema hema
ana demadema, amechoka kinyama
analalama, amepanda mlima
Juzi aliteswa na moshi, anachochea makande
leo mlango haumtoshi anapita upande upande
duh ohh, pesa hazina mwenyewe
cheki anavyotembea, suti kubwa kama gunia lakini imemuenea
Manse akivalia ndani anapotelea
unazani anafikiria? jinsi ya kutumia?
kwenye daladala siti tatu anaenea, na bado anazilipia
na anatutoa za ma'bia
videmu vinamzimia, anavizingua ka Jengua wa kidedea
Pochi yake imejaa mikwanja, akiifungua vinamchekea
uhhhh ana presha mkimshtua atazimia
kimbaumbau kanenepa kawa tukunyema,
uhhh, kanenepa kawa tukunyema
kimbaumbau kanenepa kawa tukunyema
ati, kanenepa kawa tukunyema
kimbaumbau kanenepa kawa tukunyema,
uhhh, kanenepa kawa tukunyema
kimbaumbau kanenepa kawa tukunyema
ati, kanenepa kawa tukunyema
[Mashairibongoflava.blogspot.com]