Napenda unavyokikata kiuno, unaniacha hoi
walinda tabasamu lako, baby
Niweke kwenye nafsi yako, mimi
I love the way that you wind it, wind it, wind it
Napenda unavyo rewind it, rewind it, rewind it, rewind
kwa uzuri basi naona we ni hatari
mboni zangu najiona ni fahari, no, no..no no no no
Pozi zako ka' Tausi ndege mzuri
Uchezapo najiona hoi, ho..ho ho ho ho
Chemichemi ya urembo wa maskani..
basi unyama unyamani, mi nifanye nini?
we' ndio njiwa wangu uh, we' ndio nuru yangu uh
we' ndio shida yangu uh, we' ndo roho yangu
mwingine sitaki!
mwingine!...sitaki no
mwingine!...sitaki no
mwingine...sipendi no no! no
mwingine...sitaki no
mwingine...sipendi no
mwingine mimi...sitaki no no
Napenda unavyokikata kiuno, unaniacha hoi
walinda tabasamu lako, baby
Niweke kwenye nafsi yako, mimi
I love the way that you wind it, wind it, wind it
Napenda unavyo rewind it, rewind it, rewind it, rewind
Hima hima nipe hamu niwe angani, nizame..juu ya mapenzi top..top top top
hapo hapo unapokata matatani, basi unyago unyagoni, na..
nifanye nini?
we' ndio shina langu uh, we' ndio roho yangu uh
we' ndio nyota yangu uh, we' ndo zeze langu
mwingine sitaki!
penzi lako tajiri, usiniache gizani
tung'are wote honey, no no!
penzi lako ni tajiri, ....gizani
Honeey!
Napenda unavyokikata kiuno, unaniacha hoi
walinda tabasamu lako, baby
Niweke kwenye nafsi yako, mimi
I love the way that you wind it, wind it, wind it
Napenda unavyo rewind it, rewind it, rewind it, rewind
::NGWAIR::
Mi napenda ulivyo fresh, fresh
msela na umezaa kisista du, boo aah
umeumbika na una cash, yes
ndo maana masharo macho juu, juu
mtoto uko tu, figure ya ki'model
mwepesi kitandani sio gogo
jicho kama umekula weed ah
urefu fulani wa Njara Rashidah
Crazy baby, sexy lady ah
Game yako imenibamba ki'deadly
Usiku mnene tuki'bump na grind
na kila tukimaliza, huwaga tuna'rewind
danger!
napenda unavyokikata kiuno, unaniacha hoi
walinda tabasamu lako, baby
Niweke kwenye nafsi yako, mimi
I love the way that you wind it, wind it, wind it
Napenda unavyo rewind it, rewind it, rewind it, rewind
[Mashairibongoflava.blogspot.com]