Jah Bless, always
Yeah
Usinisikilize mi leo, usinikilize mi kesho
nataka usikilize akili yako iliyo special
Usinisikilize mi leo, usinikilize mi kesho
nataka usikilize akili yako iliyo special
Hiki ni chumba cha wanaume Mchumba, inatakiwa
hizo sauti ziwe chini, sio juu kama sidiria
ila kuna vina vitamin kama ziwa
kama hujiamini huamini umebarikiwa
na kama ni duu, do ya msingi ya maisha yako
Nikki ata do ya msingi ya mwili wako
speed ijiendeshe, sio graph na maana
hatuna Familia so we Familiana
"No ana ana do, spring matumbo!"
Usiku na mchana sa na Jing tuta'go
Gongolamboto langu puu umeni'kill me
Gongo ni la kwako my boo come feel me
hapa tight, naingojea kati
tanogea panty, ikisogea kati, bali pair
Pair na mwanamke aliyenifanya nifukuzwe Eden
Unaponipa tunda bado najisikia Heaven
Hapo kati tanogea kati, bali pea kati
Tanogea kati, bali pea..
Pair na mwanamke aliyenifanya nifukuzwe Eden
Anaponipa tunda bado najisikia Heaven
Hapo kati tanogea kati, bali pea kati
Tanogea kati, bali pea..
Pair na mwanamke aliyenifanya nifukuzwe Eden
Anaponipa tunda bado najisikia Heaven
Demu cheap 'namtia' vocha kitandani, ah ah ah
Siamini Lady kupepeta wala Lady gaga
Akutendae kwa sanaa, asali imenoga hatoki na..
Akupendae akikuzima, zima woga chill na...
U-mwanamke kwenye akili mlezi na sio mama
Ni msichana kwenye mwili wa mwezi umeandama
Ya pili, bikira yako ni mpenzi wako Nikki
Wema hawadumu, ila Neema huharibiki
Sio njema kweli na bado una power umantiki
hujapagawa na uhuru uwanja wa marafiki
na hiyo kabla ya kuzuru kiwanja ukamuona nikki
ukani'feel twende ghetto we ni moto ila Vicky
hatuwezi kwenda ghetto labda nyumbani kwa Nikki, ma!
Hauku'tell ukarudi Hostel, kusikilizia mchongo niki'call kwenye Cell
Nimeangukia kwenye uzuri, cause kukuuzia uongo
Hapo kati tanogea kati, bali pea kati
Tanogea kati, bali pea..
Pair na mwanamke aliyenifanya nifukuzwe Eden
Anaponipa tunda bado najisikia Heaven
Hapo kati tanogea kati, bali pea kati
Tanogea kati, bali pea..
Pair na mwanamke aliyenifanya nifukuzwe Eden
Anaponipa tunda bado najisikia Heaven
Kwa muonekano tu, mtoto ya mike typer
'Mweusi' ndo undugu njoo ujumuike kwa Cypher
Usini'International, uswahili kimataifa
Huyu jamaa si ndo humwitaga Makini mambo yamejipa
Naonekana mbali nusu ni nyota Mamajusi
ukweli ndo mchezo wangu, let me in MC
kama ni moshi, nifanye Kilimanjaro
wapinzani nimeukalisha kila Barrel
elewa mizito mistari yangu
Nifate ila nisikupate kwa u'star wangu
usipagawe na unene wa mifuko mistari
Nisikutumie kama ninavyotumia hela zangu ni hatari
Hapo kati tanogea kati, bali pea kati
Tanogea kati, bali pea..
Pair na mwanamke aliyenifanya nifukuzwe Eden
Anaponipa tunda bado najisikia Heaven
Hapo kati tanogea kati, bali pea kati
Tanogea kati, bali pea..
Pair na mwanamke aliyenifanya nifukuzwe Eden
Anaponipa tunda bado najisikia Heaven
[Mashairibongoflava.blogspot.com]