Mi niko mpole, sinaja story
Peace kwa majamaa, mpaka mademu wa college
No guy sorry, Mambo poa Dole
Mi napanda ngazi kwa ngazi tu polepole
Nipe tano alright, Peace Nesta Marley
Ukimweka Falli ipupa kwa Ngoma namweka Wyre
Yeah mule mule, sijafurahi kama yule
Niko shule mi nimesoma sikai bure
Yeah mi wa kale, hatuwezi kwenda sare
Mi nasali siendi kwa mganga kupigwa chali
Mi najituma sio zali, way back bare
Vita ya nguvu za giza, ana kwa ana mishale
Yo misele, mishe mbelembele
Pandisha mlege, niko minja utapigwa ndole
haibuda zere, kila siku sherehe
ah Latino nionyeshe maninga, project kama mbele
Iwe nyumbani, Dole
Mitaani, Dole
Kote amani itawale
Kwani mi nina tatizo na mtu
ah ah ah ah
Kwani mi nina tatizo na mtu
Mambo poa dole, Mi si flow like dey call 'em
we usikuwe mpole, dai haki usikuwe joti
Track inapandisha ngari, mistari imebalehe
Manga ingelisha, mh twende kama wapare
taratibu starehe, finali uzeeni hatari
we mkali jipange tu, uje kuwa na machale
make money sadaka maskini wape wale, dole!
finali uzeeni hakuna sare
Munajuwa hapa niko safe
nina ndoto ya ku'meet juu na mwana wa Yoseph!
Roho safi nimetoka bafu, sivuti tena kush puff enough
usela mavi, nikapoteza life, kuanzia after miaka tatu nne ninahitaji wife
kabla ndoto uka ni christ, mapema nipe advice
otherwise ni kujipanda na kuonesha surprise
navikwa pingu najua aisee ni pigiwe dosari
Iwe nyumbani, Dole
Mitaani, Dole
Kote amani itawale
Kwani mi nina tatizo na mtu
ah ah ah ah
Kwani mi nina tatizo na mtu
kama babylon com on
mi nakuonesha dole
nafi bashman we arent no pumba
let the torepublico na shams so nigga roll it roll it
nawasha moto kama jiko homie roger that?
Hii ni bangara bing bang unaonaje dole
hebu changa changa ni hizo ching twende tule starehe
but waida na wanyamwezi wamejaaa vile ni ile noma
dondosha liquor we on it
Hii ni bangara bing bang unaonaje dole
hebu changa changa ni hizo ching twende tule starehe
but waida na wanyamwezi wamejaaa vile ni ile noma
dondosha liquor we on it
yo yo yo we on it
yo yo we on it
yo yo yo we on it
ah kwani mi na tatizo na mtu?
[Mashairibongoflava.blogspot.com]