Nikki wa Pili - Nje ya Boksi


     

Mpeleke, Nje nje nje
Nje ya 18! Nje ya 18!
Mpeleke, Nje nje nje

Mungu nijalie demu mpenda pesa,
 kila siku nipigane kuwa Bakhresa
Asinipende mimi apende Verrosa,
wanaume gewa wengi ndio kitu wamekosa
Mali ghafi ya suruali si Boxer,
siri nyingi mahali dingi alikosa
Demu wa shida na raha na misoto sana
huyo demu hanifai changamoto hana
ikiwa demu wako anapenda vidogo
huwezi kuwa na vingi na kuwa kigogo
Demu amsifie sana boss wangu
nakasirike kesho nijenge kiwanda changu
sitaki demu wa kitanga, jioni moja khanga
tayari amejipanga, kwa mabusu mangapi
demu ninayemtaka, Manka wa kichaga
jioni anaulizaga, "Umeingiza Sh ngapi?"

Mpeleke, Nje nje nje
Nje ya 18! Nje nje nje
Nje ya 18!
Mpeleke, Nje nje nje
Nje ya Boksi, Nje ya Boksi
Nje ya 18!

Namtoa nje ya Boksi, ndo nimpecha ndani ya boxer
aulizie ferrari Joh ni kitu gani Verrosa
then bodaboda kwenye Bajaji anasinzia
Itaua kipaji jamaa na uwezo wa kufikiria
asinipende kama Joh anipende kama star
Super kabisa ile gumzo ya kitaa
ili nikaze asinilemaze nikadumaa
sio demu anayehitaji kua na ndoa
bali mwanamke anayehitaji mahitaji ya ndoa
ana sheria mikononi simpigi demu
nachukua sheria kiunoni, Joh me killing them
asiyefanya kazi na asile ndio neno lenye uhai
asishike neno ashike maneno yenye maslahi
Ma'lips no shy when hips dont lie
so wa lift, voucher, gift, shopping, chips mayai
demu cheap hanifai, bali ghali afanye mi niwaze u'millionaire
kumhonga laki mbili tatizo nisione
flow na mdundo ni mapene ya mweusi hapa any
sio miaka thelathini na tano driving school
apende niendeshe magari mazuri, yeah thats cool


Mpeleke, Nje nje nje
Nje ya 18! Nje nje nje
Nje ya 18!
Mpeleke, Nje nje nje nje
Nje ya Boksi, Nje ya Boksi
Nje ya 18!


Mpeleke, Nje nje nje
Nje ya 18! Nje nje nje
Nje ya 18!
Mpeleke, Nje nje nje nje
Nje ya Boksi, Nje ya Boksi
Nje ya 18!


[Mashairibongoflava.blogspot.com]