Mad P ft Dully Sykes - Sijawahi onaga

..AS WE PROCEED... TO GIVE YOU WHAT YOU NEED
5,4,3,2,1

Ah
Mi ni Gangbang, babe we ni Diva
Mikato ya hatari nazidi kukandamiza
chafua raha, chafua raha leta karaha
Nikilenga sio test, naipa na shabaha
good look, bad look kwangu yote fine
nishapiga michongo, mapene kwenye line
tujiachie tule bata, inakushangaa
tuna'bang na machizi wengi wa kitaa
vaa mini, vaa skin kwangu yote fine
sema Ma, sema Ma, wapi kwenye raha
tukiwa viduku, tuwashe au  tuzime taa?
you're beautiful, you got a good look
hey shorty you got it from yo momma!
hakuna sharobaro, mnyamwezi mi sina drama
Gucci stuff, D 'n G, louis V, My baby girl au Huvizimii? oh
Gucci stuff, D 'n G, louis V, My baby girl au Huvizimii? oh
oh come closer tu'pop bottles, usihofie kuhusu saa mida bado bado
oh come closer tu'pop bottles, usihofie kuhusu saa mida bado bado

Danger, kill dem, holla!
legooo!

(Dully sykes)
kwanza, katika ma'hit sijawahi onaga
I say kwanza, katika ma'hit sijawahi onaga
watu wanajimwaga, na hakuna anaye kosaga
watu wanajimwaga, na hakuna anaye kosaga

kwanza, katika ma'hit sijawahi onaga
I say kwanza, katika ma'hit sijawahi onaga
watu wanajimwaga, na hakuna anaye kosaga
watu wanajimwaga, na hakuna anaye kosaga

ah
zungusha ringi nidate kabisa, kichwani nipo tinga
si mnyama nanesa
I got money huh, i got a pretty chick
na demu wako long time kisha'fall in sick
hey  DJ pon de replay, tunavua stress baada ya kusaka pay
shot tequila, we pop champagne, tunakula raha wanyamwezi everyday
yes, usiongee kuhusu Dress code, we got blue swag
cheki wenye iPad, i smell money sehemu zote za bata
mi waniganda mikiani hawaishi kunifuata, huh
dada zako sasa wanavyokoma nami
wanawako wanalipuka wanataka chini
kuna wasomali, wamanga warundi
zetu CNN tunakesha kama bundi
kula tungi wengine saga mirung*
hatutaki viduku hatupo disko vumbi

(Dully sykes)
kwanza, katika ma'hit sijawahi onaga
I say kwanza, katika ma'hit sijawahi onaga
watu wanajimwaga, na hakuna anaye kosaga
watu wanajimwaga, na hakuna anaye kosaga

kwanza, katika ma'hit sijawahi onaga
I say kwanza, katika ma'hit sijawahi onaga
watu wanajimwaga, na hakuna anaye kosaga
watu wanajimwaga, na hakuna anaye kosaga

hey

kwanza, katika ma'hit sijawahi onaga
I say kwanza, katika ma'hit sijawahi onaga
watu wanajimwaga, na hakuna anaye kosaga
watu wanajimwaga, na hakuna anaye kosaga

[Mashairibongoflava.blogspot.com]