Deka na mimi, mpaka iwe burudani
unipe mahaba, ya dhati wangu mwandani
iwe ugali na nyanya, nitakula na wangu kimwana
sababu nakupenda sana, na'enjoy anachotupa maulana, yaalah

Deka nami usiku kucha, nikupe mapenzi ya dhati
nakuahidi sitokutupa, usisikilize wanafiki
mvua ikinyesha, ni baraka ya upendo niwe nawe
usije nikondesha nikaja kufa na pressure mwanawane
jua mami ukiniacha nitayumba yumba nitadata
urembo wako wanimaliza, mpaka unanipa mashaka
Burudani, Baby, iwe burudani mwanawane
Burudani, ohhh, iwe burudani mwanawane
Deka na mimi, mpaka iwe burudani
unipe mahaba, ya dhati wangu mwandani
iwe ugali na nyanya, nitakula na wangu kimwana
sababu nakupenda sana, na'enjoy anachotupa maulana, yaalah
Deka na mimi, mpaka iwe burudani
unipe mahaba, ya dhati wangu mwandani
iwe ugali na nyanya, nitakula na wangu kimwana
sababu nakupenda sana, na'enjoy anachotupa maulana, yaalah
Pendo halina tajiri, wala maskini kipenzi
ukitaka tufike mbali, tusiwadharau wazazi
mvua ikinyesha, ni baraka ya upendo niwe nawe
usije nikondesha nikaja kufa na presha mwanawane
tuombe bila kuchoka, siku atashusha miujiza
furahia kazi yangu, siku italeta mwangaza
Burudani, Baby, iwe burudani mwanawane
Burudani, ohhh, iwe burudani mwanawane
Deka na mimi, mpaka iwe burudani
unipe mahaba, ya dhati wangu mwandani
iwe ugali na nyanya, nitakula na wangu kimwana
sababu nakupenda sana, na'enjoy anachotupa maulana, yaalah
Deka na mimi, mpaka iwe burudani
unipe mahaba, ya dhati wangu mwandani
iwe ugali na nyanya, nitakula na wangu kimwana
sababu nakupenda sana, na'enjoy anachotupa maulana, yaalah
jua tabu zinapita, tutaishi vyema
deka nideke mpaka mwisho wa sinema
Mungu kanipa zawadi, na wewe ndio kimbilio langu
Furahia hiki kidogo, tamaa mbaya mpenzi wangu
siku zote unanifariji, kwenye joto mpaka baridi
Deka na mimi, mpaka iwe burudani
unipe mahaba, ya dhati wangu mwandani
iwe ugali na nyanya, nitakula na wangu kimwana
sababu nakupenda sana, na'enjoy anachotupa maulana, yaalah
Deka na mimi, mpaka iwe burudani
unipe mahaba, ya dhati wangu mwandani
iwe ugali na nyanya, nitakula na wangu kimwana
sababu nakupenda sana, na'enjoy anachotupa maulana, yaalah
[Mashairibongoflava.blogspot.com]