Mhh
Mungu aliumba Dunia, Mapenzi tangu na tangu
yashanipiga sasa, sina budi nielewe
siwezi kung'ang'ania, huenda sio fungu langu
japo ni shida ila, nitabaki mwenyewe
oh, ila mpe shukrani, kwa kuniumiza suraya
mwambie mi bado mahututi, nauguza kidonda changu
na sisikii hasirani mwambie mapenzi mabaya
hata angali haikaruki, zingetibu chozi langu
kutwa nzima moyo unanidunda, dunda
sina amani nasaga rumba, rumba
ah unanidunda, dunda
sema 'chinetine' moyooo
unanidunda, dunda (maumivu moyoni!)
sina amani nasaga rumba (oh mimi!)
na unanidunda, dunda
hey, ukimuona
ukimuona, ukimuona!
ukimuona, ukimuona!
ukimuona!
ah, we nenda mwambie marafiki, marafiki wabaya
tena wengi waongo, wala wasimdanganye
oyeni mashoga, rafiki, oh marafiki wabaya.. ooh mhh
tatizo mi bado, nilipoteleza nikakosa sipajui
mpaka akafunga virago, na akaamua kuondoka sitambui
mbaya kinachoniumiza, maneno 'neno maneno
mara kwa ndugu rafiki, kwanini yanawapa misemo?
mmejaribu papasa, kuona ka' macho yataona chochote
ila ndo kutwa mikasa, na ninazidi kuanguka niokote
kutwa nzima moyo unanidunda, dunda
sina amani nasaga rumba, rumba
ah unanidunda, dunda
sema 'chinetine' moyooo
unanidunda, dunda (maumivu moyoni!)
sina amani nasaga rumba (oh mimi!)
na unanidunda, dunda
hey, ukimuona
ukimuona, ukimuona!
ukimuona, ukimuona!
ukimuona!
[Mashairibongoflava.blogspot.com]