you know how we do it yo
another one, lamar!
what you say man?
I gotta keep on moving
And my hood still shining
I gotta keep on moving
And my hood still shining...
Cause I Move like ball player
I Move like a ball player
Cause I Move like ball player
I Move like a ball player
baba mama wananiombea, niweze fanikiwa
hata watu wangu wa mbeya, hivyohivyo pia
kama snitch we jipange, jipange tena sana
saluti kwa mama kapange, umetulea mama
nimekuja dar sina ghetto ila, na unaishi kwangu
hu'care na mambo mpeto, tunamshukuru mungu
big up kwa salehe gadau, na beka masonga
kiukweli mi sitosahau, na mbele tunasonga
plan ziko mpaka Z, ila ndo kwanza niko plan A ah
I hustle hard everyday, ukinikuta kariakoo
utasema sio mimi, kwenye pesa toa macho
ndo kanuni ya mjini
kama kweli unanisikia, sku hizi mchongo pesa
hata uwe m'baya wataaminia ma sistaduu utawatesa
utaitwa handsome hata kama sura mbaya
hii ndio D'salaam unakana kwenu huna haya
eti, Im flexing all day!
Nigga unajiona mike kimei!
I gotta keep on moving
And my hood still shining
I gotta keep on moving
And my hood still shining
Cause I Move like ball player
I Move like a ball player
Cause I Move like a ball player
I Move like a ball player
Coweezy! yo!
Mi na hustle hard, ndo swagga zangu everyday
big beats zinahit kwa street, bila Dre
kumbuka ulizaliwa mbeya, mwanachemba wa east zoo
mbili ni bora zaidi ya moja na tatu ni de Javu
mwanajeshi ambaye, mpaka usingizini nimejikoki
maisha siwezi kuyachekea, course yangu siyo ya joti
mi huu mziki huwa naudai, ndo maana huwa siuchoki
AKA mimi bado inaimbwa kitaani ka' karaoke
wakati umezubaa, unanidiss kwa mtaa
mi nifanya business zangu na quick kwa Lamar
kwanza nikifika huwa nakunywa navuta ka' niko Bar
mi kwa Booth natoa sauti ya busara kwa Zanzibar
haujui nilivyo hustle, mpaka leo kuwa Ngwair
so we ongea ongea hizo diss dot com nishazizoea
we unaeza nipaka unavyotaka
mi sijali ukininyea, we una beef njoo ghetto
dogo ndo atakukojolea
Yeah im flexing all day!
nigga, acha use%$%$^ saka pay holla
I gotta keep on moving
And my hood still shining
I gotta keep on moving
And my hood still shining
Cause I Move like ball player
I Move like a ball player
Cause I Move like ball player
I Move like a ball player
Izzo ndo mbeya iko wazi waulize na wanajua
haifichiki iko wazi we dafu na nakufua
saluti kwa kaka zetu, japo wachache wenye love
hawatupendi si wa sasa, kumbe kisa cha kipumbavu!!!
kurudi kweli nitarudi, nitarudi kusalimia
hapa kazi sala juu, ukibana basi utauumia
huu mziki sijaanza juzi, usipagawe mi na shiine!
muuza nyago zako makuzi, usijaribu ku'combine! ah
mishemishe hustle hard kama kawa
mbeya niwavalishe hawa waduwanzi wanapagawa
demu wako shabiki wangu, kipi sasa we unanuna
itakuwaje akisuuza 'rungu' si utaomba nirudi mazima!? ah
yeah ama music ita....
yes you can call me izzo business
yeah what up yeah yeah???
saluti kwa washua kwa kunikuza mi
wanafiki wanaochonga mi siwasikii
IZZO Naongeza bidii
I gotta keep on moving
And my hood still shining
I gotta keep on moving
And my hood still shining
Cause I Move like ball player
I Move like a ball player
Cause I Move like a ball player
I Move like a ball player
[Mashairibongoflava.blogspot.com]