mi nataka kesho
twende nikupeleke nyumbani
mi nataka kesho, twende ukamuone mama
mi nataka kesho
twende nikupeleke nyumbani
mi nataka kesho, twende ukamuone mama
sss ai
kwanza kabisa nitanyonga tai, TShirt na jeans nitatupa kidogo
uniite Nassib usiniite Dai (diamond).. asije akakuona muhuni akapandisha mbogo
na ukifika uagize chai, Savanna Tequila uzipe kisogo
kuhusu mavazi ya kimini haifai, tupia kindezi ila za hekima logo
even though wanaponda eti wewe ni kicheche
waambie we ndo chaguo langu wa sasa wanicheke
even though wanaponda wewe ni kicheche
waambie no! chaguo langu sasa wanicheke
mi nataka kesho
twende nikupeleke nyumbani
mi nataka kesho, twende ukamuone mama
mi nataka kesho
twende nikupeleke nyumbani
mi nataka kesho, twende ukamuone mama
na
usilete swagga za nai nai, ukanyoa kiduku ka Mose iyobo
eti shopping tuende tai..(Taiwan), wakati dada yangu ana duka kidogo
ukikuta nguna usiikatae, we zuga unapenda hata kama wa muhogo
kuhusu kabila mbona sabahi, mlo angu hana noma hata kama mgogo
even though wanaponda eti wewe ni kicheche
waambie we ndo chaguo langu wa sasa wanicheke
even though wanaponda wewe ni kicheche
waambie no! chaguo langu sasa wanicheke
mi nataka kesho
twende nikupeleke nyumbani
mi nataka kesho, twende ukamuone mama
mi nataka kesho
twende nikupeleke nyumbani
mi nataka kesho, twende ukamuone mama
[mama] mama yangu mama
[mama] mama Nassib mama
[mama] mama Diamond mama oh
mama yangu nyumbani
[mama] mama chali mama
[mama] mama Sepetu mama
[mama] mama kidoti mama ohhh
mama mama Diamond nyumbani!`
mi nataka kesho
twende nikupeleke nyumbani
mi nataka kesho, twende ukamuone mama
mi nataka kesho
twende nikupeleke nyumbani
mi nataka kesho, twende ukamuone mama
[Mashairibongoflava.blogspot.com]
Tutumie masahihisho unapohisi kuna makosa!