[Akiongea]
B A G H D A D
Picha linaanza kama utani Kariakoo
Skuli shoo ni gwara siti
Mi ni bad divito
Azania mpaka pastor anasali ki-hardcore
skuwa makini kama Joh
Rosa kapitwa na Jojina, Nisingekuwa, Nisingekuwa tapatapa
aliyegundua, aliyenifua ambaye amenifanya mi niko hapa man
nilimsumbua, hakugundua nilichotaka nilipojua nikai-bakora
sikujua ye aliapa then
utisakigo migomigo mi kwenye kobori
nikazua baada ya kupewa ya ki-homeboy
baada ya mahesabu ratiba tizi na Country boy
leo money power respect wamenifanya kama toy
mi dili na shetta kuliombi tu daily msoto
yani day after day tunahitaji mtoko
nika'leave yeah, nikawa presenter
radio yao ya mikocheni kutokea city centre
oh yeah
nilishasali kwamba Mungu walionikosea awasamehe
siku hazirudi nyuma wacha maisha yaendelee
yeah, imenibidi niseme
roho yangu itulie, niwaokoe wengine
kwani hapa duniani tunapita aahh
nikakutana na ma'bitch, na ma'bulls**snitch nigga
kidogo kodi nilizidiwa, hata na wakaniita Jigga
wale mbaya nilicheka nao, wazuri nilicheka nao
sikuwatupa iwe my god, nibebe baby drama alicheka nao
sura za mapene zika-meet, na ikapigwa beat
Mex kwenye Mic nae Junior kwenye......
mamboya sweet sweet haya yalitupalekea pabaya
kamba tu kama di single boy, akageuka malaya ghafla
dharau zikaanza za mabango, akasahau alipofika
pia Bagh mi na mchango, siri sio mkwanja alioutangaza kwa wananchi
alimpigia simu demu wangu shem wake anaomba ...duh
nilihisi ali'panic, jembe langu akaniambia take it easy
nilimheshimu jembe kama Chidi B, kwa Mody Bizzy
aliyepajua Sinza mi niliyepajua Tegeta
Leo anatetateta anamaindi kuniona mi napeta, Moja!
nilishasali kwamba Mungu walionikosea awasamehe
siku hazirudi nyuma wacha maisha yaendelee
yeah, imenibidi niseme
roho yangu itulie, niwaokoe wengine
kwani hapa duniani tunapita aahh
I was meant before to be somebody later
skuupitia udananda, sishangai kutokwa ushetta
nikiwa bye au patupu, niwe na Jero ama Buku
mengi niliyafanya, uchezaji baadae sio kiduku
vido nlipofeli tulisononeka wote
iwe furaha iwe huzuni ilikuwa yetu sote
i believe in God, ipo siku tu nitalipa
kwa wema niliofanya leo nakaitwa tipwatipwa
bila kuwa na Staminah asingesema leo hii
toka enzi ya kabwela, mpaka leo VIP
ye alinizidi kiakili, mi nikamzidi kiumbo
kila niliyempa njia, leo kanijibu vigambo
nawatangazia msamaha walionikera
Mungu awape amani, duniani na akhera
awanyooshee mikono kwenye kila wafanyalo
Na asimfanye Daudi Lukasi akageuka Sharobaro
nawatangazia msamaha walionikera man
Mungu awape amani, duniani na akhera
aniyooshee mkono kwenye kila nifanyalo man
na awasamehe hawajui walitendalo man
nilishasali kwamba Mungu walionikosea awasamehe
siku hazirudi nyuma wacha maisha yaendelee
yeah, imenibidi niseme
roho yangu itulie, niwaokoe wengine
kwani hapa duniani tunapita aahh
nilishasali kwamba Mungu walionikosea awasamehe
siku hazirudi nyuma wacha maisha yaendelee
yeah, imenibidi niseme
roho yangu itulie, niwaokoe wengine
kwani hapa duniani tunapita aahh
[Akiongea tena]
[mashairibongoflava.blogspot.com]