hii michano so muchano, kina rabadabah
punchlines kama vyumba, kwenye maktaba
na'break kama news get ready kwenye TV
na break ma'injury bila nyuzi wala GV
Nipo na daz knowledge,
pen and paper its time to get college
sinukii perfume wala sinuki jasho
nani anafyumu uswazi hakuna mipasho
kuna mererani, ngome, jela na uraiani
pembe tatu za maisha
R-back Tang ngara be care race one and siwezi be care less one
kama kufanya nafanya sifanyi matusi
kama kuchana nachana, sichani ku'diss
watumishi wa watakatifu wanama'bodyguard
na vibaka wanalindwa na hirizi za guard
unapanda mbegu juu ya mbegu eti kisa nyapara?
nani anafyumu uswazi hakuna mipasho
hizi ni ngumu kwenye booth sokoni commercial
hizi ni Bum Kubam! Bum Bum! Kubam!
kubum kubam! Bum Bum! Kubam!
nani anafyumu uswazi hakuna mipasho
hizi ni ngumu kwenye booth sokoni commercial
hizi ni Bum Kubam! Bum Bum! Kubam!
kubum kubam! Bum Bum! Kubam!
...
......
........
[Mashairibongoflava.blogspot.com]