...yes
thats right!
thats classic song
River camp solja is in the Building
Dar 69
Nikki wa Pili, its my Boy Belle 9, we on fire!
....
Naanza kuimba mziki nikukumbushe zako enzi
Ushabiki ni urafiki usinilazimishe tuwe wapenzi
Siwezi, we mtu mzima, we mtu mzima
Hatulingani mi nawe hatuendani
we mtu mzima, we mtu mzima
Hatulingani mi nawe hatuendani
Ku'play DVD kwenye tape deck
Haiwezi ni vipi mi unipe headache?
wa sitini na themanini hatuwezi make
kabla sijahema sana washakugema mafataki
najihisi ukini'kiss nnauhitaji mswaki, sikutaki
hauna ladha, unaponikumbatia hunipa mawazo ya Angaza
Shikamoo! unakaza, umri ka 'maza'
na mi' sio 'faza', ni vipi ntakuliwaza
nikurudishe ujana, mi sio maulana
nirudishe utoto nasema nakutukana
mi ni sugar kwenye fani sio sugar kwa ma mami
hey, dont try me, unataka kunikuza
unataka kunifunza
au unataka kumlipiza mumeo, kum'revenge
kama game ilisha'change hata umri umechelewa
katunze vizuri hao watoto mliopewa
Naanza kuimba mziki nikukumbushe zako enzi
Ushabiki ni urafiki usinilazimishe tuwe wapenzi
Siwezi, we mtu mzima, we mtu mzima
Hatulingani mi nawe hatuendani
we mtu mzima, we mtu mzima
Hatulingani mi nawe hatuendani
wasanii tuheshimike, na wasanii tusife na
wanawake tunaokesha, kuwafungua kama opener
Good boy, vipi niaje ni vipi?
umezipenda? basi kanunue CD
Na sio agenda, za kutongoza wasanii
kununua wasanii, si' huburudisha watu
sisi sio waume za watu
mi natafuta kazi, sitafuti mzazi
hi shangazi tafadhali, unataka kuniweka ndani?
whats up? mi sio mwali
japo kitu sinaga, nitaendelea kuwamwaga
vitamu mihogo na burger, inawezekana tukiboresha hizo swagga
usinitangulizie hela, usiniletee usela
tena uache kunieleza, na utoke kwa hii meza, right?
You're my mother from another father hey
im your son from another mother okay?
Nikki baby
Naanza kuimba mziki nikukumbushe zako enzi
Ushabiki ni urafiki usinilazimishe tuwe wapenzi
Siwezi, we mtu mzima, we mtu mzima
Hatulingani mi nawe hatuendani
we mtu mzima, we mtu mzima
Hatulingani mi nawe hatuendani
mi hucheza juu ya beat, mi sichezei mabinti
mi sichezei mamaza, kwa hiyo matiti
mi nna style za ku'flow sina style za kwenye vyoo
tukutane kwenye show, get close get a picture
im the best teacher, im the best picture
for the best future, for the best...?
cause im the best preacher, im the best teacher
for the best future, for the best future
Naanza kuimba mziki nikukumbushe zako enzi
Ushabiki ni urafiki usinilazimishe tuwe wapenzi
Siwezi, we mtu mzima, we mtu mzima
Hatulingani mi nawe hatuendani
we mtu mzima, we mtu mzima
Hatulingani mi nawe hatuendani
[Mashairibongoflava.blogspot.com]