uhhh
Hadithi ya penzi langu naikata, nini mwisho
Huthamini huoni pendo lako nalihitaji leo kesho
nishawahi kukosa, mwenzenu nilisumbuka
mchana na usiku mimi, nishawahi kukosa
nasema niliteseka mchana na usiku mimi
nishawahi kukosa, mwenzenu nilisumbuka
mchana na usiku mimi, sitaki tena kosa
najua nitateseka mwisho sitakuwa nawe tena
nauliza
ni kama pete yangu, inakuchoma kidoleni
ni kama pendo langu, linakuchoma moyoni
bora kuitoa, pendo kulivua
bora kuitoa, moyoni mwangu mi nisiteseke

ah
sikujali wambeya wanafiki walosema...
hatutadumu mimi na wewe tutajaachana..
wakiniona siku nawe si ndio watasema
hata nyumbani watajua tumefarakana
nikiwaza kwenda mbali, moyoni nahofia
maana bado nakujali, kwako nilishatua
nikiwaza kwenda mbali, moyoni nahofia
maana bado nakujali, kwako nilishatua
maana kila jema nilitendalo, miye
kwako limekuwa sio, niambie
nitakapo kujua ulipo, niambie
wanijibu utakavyo
pete kidoleni mwako, yanisuta mwenzio
maana nikukosapo, moyo wanienda mbio
uhhh
ni kama pete yangu, inakuchoma kidoleni
ni kama pendo langu, linakuchoma moyoni
bora kuitoa, pendo kulivua
bora kuitoa, moyoni mwangu mi nisiteseke
bora kuitoa, pendo kulivua
bora kuitoa, moyoni mwangu mi nisiteseke
ni kama pete yangu, inakuchoma kidoleni
ni kama pendo langu, linakuchoma moyoni
bora kuitoa, pendo kulivua
bora kuitoa, moyoni mwangu mi nisiteseke
bora kuitoa, pendo kulivua
bora kuitoa, moyoni mwangu mi nisiteseke
[Mashairibongoflava.blogspot.com]