mateso dhiki bado hadithi, haijaisha
vya kurithi, wamebinafsisha
njaa adui mkubwa, na silaha zimetuishia
tusaidieni nyie wakubwa, tuliwachagua
penzi tabu kazichoka, na bado ananizimia
kachoka show na viraka, wadau wanamvizia
yataka moyo wapinzani kila kukicha
ubinafsi chuki na uchoyo, ah kila kukicha
viganja vinawasha na pesa haionekani
habari inawapata tumtafute mchawi nani
sio Mbeya dunia nzima wote tuingie vitani
whaat? dunia nzima wote tuingie vitani
graph yangu iko kasi inapanda, hata haishuki
wanaofeki sasa ni wafuasi sasa imefika tamati
hawapindui hawajui, wote kwangu ni masokolo
mimi msondo hawajui wao Twanga chipolopolo
IZZO [what?] IZZO [thats my name!]
utarudishwa Mbeya!
IZZO [what are you saying] IZZO [yeah!]
utarudishwa Mbeya!
IZZO [ni nani] IZZO
utarudishwa Mbeya! [what?]
IZZO IZZO!
utarudishwa Mbeya!
Shauri yako!
Nawasoma uwezo hawana, nawabana
Nawamwagia zangu laana.....
[mashairibongoflava.blogspot.com]