natamani nikuone, japo sura iniponye
mbali nilipo mie, unanifanya mi nihande
yoh sina raha, tena sina raha
natamani nikuone, japo sura iniponye
mbali nilipo mie, unanifanya mi nihande
yoh sina raha, tena sina raha
hukuweza hata kuaga, sikujua nini chanzo
naskia upo iringa, kwa mjomba wako Kondo oh ohh
tuma mamaa, tuma mamaa
oh, natumaini, kilio changu umesikia
oh, natumaini, machozi yangu utayafuta
yalopita tete tuyafute yote na tugange mapya ah
oh, natumaini, kilio changu umesikia
oh, natumaini, machozi yangu utayafuta
yalopita tete tuyafute yote na tugange mapya ah
ukichelewa kurudi, nitaumia honey
simanzi nyingi na mikono shavuni
jua ni wewe, ni wewe wa moyoni
vidonda hivi, nani wa kuviponya
uzima wangu na uhai pindi ntapokuona ah ah
njoo my lady, njoo njoo
njoooooooooooooooo
na.tu.maini!
oh, natumaini, kilio changu umesikia
oh, natumaini, machozi yangu utayafuta
yalopita tete tuyafute yote na tugange mapya ah
oh, natumaini, kilio changu umesikia
oh, natumaini, machozi yangu utayafuta
yalopita tete tuyafute yote na tugange mapya ah
muda mwingi nakaa chini nawaza, hivi kwanini oh uliondoka
ona sina raha, ona sina raha ah
sihisi vibaya, sikuhisi malaya
ni upendo, ni upendo
ni upendo ni upendo ni upendo
muda mwingi nakaa chini nawaza, hivi kwanini oh uliondoka
ona sina raha, ona sina raha
oh, natumaini, kilio changu umesikia
oh, natumaini, machozi yangu utayafuta
yalopita tete tuyafute yote na tugange mapya ah
oh, natumaini, kilio changu umesikia
oh, natumaini, machozi yangu utayafuta
yalopita tete tuyafute yote na tugange mapya ah
natumaini baby girl
eh eh eh
[Mashairibongoflava.blogspot.com]