amerudi!
Kwenye maisha, sijawahi kuta
majonzi yako mimi ni vipi nitafuta
uongo mwingi sikuweka nukta
majuto ni mjukuu leo naumbuka
penzi ulilonipa, lilinisahaulisha
mpaka nikahisi we ndo wangu wa maisha
penzi ulilonipa, lilinibadilisha
nikabadili mfumo wangu wote wa maisha
penzi nililolipata kwako, nilifurahi sana
furaha yangu kwako, ni kama niko paradise
penzi nililolipata kwako, nilifurahi sana
furaha yangu kwako, ni kama niko paradise
Kama niko paradise!
Kama niko paradise! Kama niko paradise!
Kama niko paradise! ....niko paradise!
amerudi, najuta yote niliyotenda baby
amerudi, najuta yote niliyofanya kwako
amerudi, najuta yote niliyotenda baby
amerudi, najuta yote niliyofanya kwako
japo wengi wanakujua wewe, ila tambua wangu amerudi home
japo wengi wanakujua wewe, ila tambua wangu amerudi home
ujue, utambue, tayari mi nishakosea
ujue, utambue, nilichofanya kwako sio fair
ujue, utambue, nilichofanya kwako sio fair
amerudi
wewe nilikuficha, yeye mpaka nyumbani nishamtambulisha
wewe nilikuficha, yeye mpaka nyumbani nishamtambulisha
japo sikuwa real kwa penzi lako, ila nilikuita my love
japo sikuwa real kwa penzi lako, ila nilisema "I love you baby"
amerudi, najuta yote niliyotenda baby
amerudi, najuta yote niliyofanya kwako
amerudi, najuta yote niliyotenda baby
amerudi, najuta yote niliyofanya kwako
kusema I love nimekosea, kukuficha sio fair
unisamehe nimekosea, unisamehe!
kusema I love nimekosea, kukuficha sio fair
unisamehe nimekosea, unisamehe!
bora ibaki kuwa siri mi nawe, kama tulikuwa wapenzi
hata mkikutana msigombane, kosa ni langu mi
ibaki kuwa siri mi nawe, kama tulikuwa wapenzi
piga moyo konde nielewe, japo ni ngumu kwako
amerudi, najuta yote niliyotenda baby
amerudi, najuta yote niliyofanya kwako
amerudi, najuta yote niliyotenda baby
amerudi, najuta yote niliyofanya kwako
[Mashairibongoflava.blogspot.com]
Sign in kutumia akaunti yako ya Facebook kisha comment!