HEY BHITS BHITS AY!
Nami nasema, leo leo leo
na sitamwacha ah ah ah leo leo leo
Nami nasema, leo leo leo
na sitamwacha ah ah ah leo leo leo
you know, sijamwona kama ye before
mapigo ya moyo yanienda mbio
nikimtia machoni, nikimtia machoni
nataka nimtokee, ili niwe naye
nje ndani full shangwe
nataka nimtokee, ili niwe naye milele
Nami nasema, leo leo leo
na sitamwacha ah ah ah leo leo leo
Nami nasema, leo leo leo
na sitamwacha ah ah ah leo leo leo
Excuse me beautiful, nishike mkono usiniache peke yangu
najua wengi tu, wengi tu, wamekutokea na wana uwezo zaidi yangu
usiniache, usinimwage, niko real kwako
usiniache, usinimwage, niko real kwako
nataka nimtokee, ili niwe naye
nje ndani full shangwe
nataka nimtokee, ili niwe naye milele
Nami nasema, leo leo leo
na sitamwacha ah ah ah leo leo leo
Nami nasema, leo leo leo
na sitamwacha ah ah ah leo leo leo
kwangu penzi full full uh uh
kwangu penzi full full uh uh
nataka nimtokee, ili niwe naye..nje...uh
nataka nimtokee, ili niwe naye milele
maridadi [yule!] ntampata vipi [yule!]
vipi kitabia kimwili yuko safi
nataka niwe naye, niwe naye eh
Nami nasema, leo leo leo
na sitamwacha ah ah ah leo leo leo
Nami nasema, leo leo leo
na sitamwacha ah ah ah leo leo leo
eh eh eh leo leo
leo leo leo leoo
[Mashairibongoflava.blogspot.com]
Sign in kutumia akaunti yako ya Facebook kisha comment!