hili banzi la wajeda
hili banzi la wajeda
hili banzi la wajeda
lets go madokta
hili banzi la wajeda
Ni Mr.Climax bibo rapper mwenye flow sugu
uwezo wangu moto na wala sio vuguvugu
maujanja nawapa msoto mentali nakuwa vurugu
nawachinja kama ng'ombe watoto wachinjavyo pugu
je.jemedari kote wamchezo unaocheza murua
rhymes zenye ukali emcees wanapata surua
nakamua, ile kwa sana wanashindwa tambua
nababua kwa style ambazo hawajazigundua
mi,mimi ni peremende mbovu hata mtoto haimfai
hii chupi ya mcheza summo ka ki'model haikukai
mi ni zombie, mzimu wa marehemu mossiwai
mziki madhabau ukiwa na kiu kunywa divai
flow zimesimama dede ka' mshumaa wa pasaka
rhymes zangu sikosei kama maandishi ya talaka
nilikusudiwa kama maombi ya sadaka
ile unakwenda mwenzio nawapaka ?????
wapinzani wanakimbiakimbia ila kwa sasa nawa'zoom
mna vipaji vya bandia nawanyunyuzia sumu
ona wanavyosinzia na hakuna kichwa ngumu
***kali mnazowaingizia wanajutia kuwa humu
hehe
bang bang mex toa hizi salamu,
rhyme nimezitoa kafara kitambo tena nishakunywa damu
niogope nawakuja ka' mazaramo
nakesha na ma'zombie sitishwi na chakaramo
kwenye hili nyimbo wapinzani wamebakia.. oh mama!
hawana hate wakisikia hili goma..oh mama!
kwenye bodaboda...oh mama!
vibajaji...oh mama!
hii ni barua ya kihaya kwa wapemba...oh mama
asee!
kwenye hili nyimbo wapinzani wamebakia.. oh mama!
hawana hate wakisikia hili goma..oh mama!
kwenye bodaboda...oh mama!
vibajaji...oh mama!
hii ni barua ya kihaya kwa wapemba...oh mama!
kwenye wodi ya vichaa mwehu kapewa ukiranja
mwendawazimu kurudi, mwezi mchanga amedanja
wamedanja, nyumba ya udongo inadekiwa
Raisi anafokewa,
aliyetaka kujiua, sumu anamezea maziwa
haha
ujuzi unavyopangana wajuzi haja inambana
mapinduzi ya kiujana yenye makamuzi ya laana
hustle zina pigo ndefu zimenyooka kama ruler
wanafichwa kama nywele za utosi ndani ya mzula
vocal ndo inakita kwenye kick na inafura
akili inawaza pesa mjini sio kuuza sura
mimi burudani bubujika wa nyumbani
majita waje uwanjani
mizuka ishafika nchani wazee!
ni badui la kimada da tuzo wakatuncha
na pia ni mzula wa jambazi unasaidia zaidi ya zana
we ni jembe lenye mpini hapa mjini hauna maana
ama alhaji uliyezini tena wakati wa azana
kwenye hili nyimbo wapinzani wamebakia.. oh mama!
hawana hate wakisikia hili goma..oh mama!
kwenye bodaboda...oh mama!
vibajaji...oh mama!
hii ni barua ya kihaya kwa wapemba...oh mama!
aisee
kwenye hili nyimbo wapinzani wamebakia.. oh mama!
hawana hate wakisikia hili goma..oh mama!
kwenye bodaboda...oh mama!
vibajaji...oh mama!
hii ni barua ya kihaya kwa wapemba...oh mama!
kwa mwendo huu kutufuata ni noma na tunasonga
tunazidi kuyoyoma na tunawaumiza ndoga
hizi chata watasoma bila kujutia skonga
huenda tunavyowapa homa kwekwena mpaka dizoma
bibo sie vinanasa na bado utumie vitasa
umtishe nani kwenye usajili wa man we mrisho ngassa
hata uwe bassa namba tasa tasa haiwi witiri
haya mashairi yanawatahiri wanakiri kwamba inakill
zaidi ya michongo na mipango iliyowekwa kwenye mabano
mapoyo nyoyo zayo zinawafanya wate...
songombingo bongo congo longolongo game ulingo
nanyo mpaka dongo wanabakia...oh mama
na wadada wanadata na zinavyoshusha beat
na line zimesimama hakuna zilizoketi
na hisia zinachoma na ku'steam set nyeti
na ulivyowapa ngoma inapigwa hadi ina'sweat na...
kwenye hili nyimbo wapinzani wamebakia.. oh mama!
hawana hate wakisikia hili goma..oh mama!
kwenye bodaboda...oh mama!
vibajaji...oh mama!
hii ni barua ya kihaya kwa wapemba...oh mama!
asee!
kwenye hili nyimbo wapinzani wamebakia.. oh mama!
hawana hate wakisikia hili goma..oh mama!
kwenye bodaboda...oh mama!
vibajaji...oh mama!
hii ni barua ya kihaya kwa wapemba
[Mashairibongoflava.blogspot.com]
Sign in kutumia akaunti yako ya Facebook kisha comment!