TID - asha




Mwenzio niko taabani
mathalani ya hatiani
hukumu yangu ni kifungo, na huyu binti
vicheche sasa mimi basi
u bachelor mimi nauaga
majukumu nayapata
babe!
riziki anatoa maanani
lazima mke wangu anijali
nakupa moyo wangu, please usiutoboe

nnapokuwa niko busy tafadhali usinichukie
natafuta pesa, natafuta pesa!

roho yangu inachoma sana, mimi
lini nitakuwa na pesa, nimuoe Asha
roho yangu inachoma sana, mimi
lini nitakuwa na pesa, nimuoe Asha

itakuwa tafrani, hizo chereko na vifijo
pamoja na wazazi, siku yetu ya Harusi
nakupa moyo wangu, please dont hurt me
nafsi yangu, nafsi yangu imetua kwako

itakuwa tafrani, hizo chereko na vifijo
pamoja na wazazi, siku yetu ya Harusi
nakupa moyo wangu, please dont hurt me
nafsi yangu, nafsi yangu imetua kwako

roho yangu inachoma sana, mimi
lini nitakuwa na pesa, nimuoe Asha
roho yangu inachoma sana, mimi
lini nitakuwa na pesa, nimuoe Asha

you're my heart, my babe, my dream,
my babe, my star, my love
you're my angel!

you're my heart, my babe, my dream,
my babe, my star, my love
you're my angel!

roho yangu inachoma sana, mimi
lini nitakuwa na pesa, nimuoe Asha
roho yangu inachoma sana, mimi
lini nitakuwa na pesa, nimuoe Asha


[MashairiBongoflava.blogspot.com]

Sign in kutumia akaunti yako ya Facebook kisha comment!