Ray C - sirudi nyuma


Ray C.
Mandugu Digital
41 Records! yeah

siangalii nyuma, naangalia mbele
na nitasonga mbele na wewe
usiniletee kwere, mi na we tusonge mbele


siangalii nyuma, naangalia mbele
na nitasonga mbele na wewe
usiniletee kwere, mi na we tusonge mbele

nimezimika na wewe toka long time
na mi nakupa muda muda wa kutosha
nimekupa lovey dovey my baby daddy
na bado mi nakutamani

girl i can be your future, mammi
your trooper, mammi
my queen my everything, i salute you mammi
the truck is up front, the coup is behind me
need a vocal's mill will do salami no

hey boy mimi nakupenda
mpenzi wangu mimi nakutaka
mi nawe sote tunapeta
wakati wote mimi ni furaha

girl, i could afford a fortune
but the truth is your youth is more important
we be in that G4 soarer when you're all aboard
and you call it unpleasant and im one awarding yeah

siangalii nyuma, naangalia mbele
na nitasonga mbele na wewe
usiniletee kwere, mi na we tusonge mbele


siangalii nyuma, naangalia mbele
na nitasonga mbele na wewe
usiniletee kwere, mi na we tusonge mbele

nilitamani kuwa nawe handsome
lakini muda  wewe mimi hukunipa
ulisema utakuwa nami
pamoja nami
na sasa tuko wote ndani

yoh
you wanna try me, mammi
the aid is raise me
you can never replace me, embrace me lady
the girl got breasts! you kinky ashy
and ray c baby, you make crazy C!

hey boy mimi nakumiss miss
hey baby hebu njoo nami
hey watu wote mko nami
hey yo wote njoo kati

girl i banged you in green porsche
shared half with ya
engagement ring cost
dont take that ring off
take them jeans off
wait girl i already like gettin nothing more
you hatin your rebob

siangalii nyuma, naangalia mbele
na nitasonga mbele na wewe
usiniletee kwere, mi na we tusonge mbele


siangalii nyuma, naangalia mbele
na nitasonga mbele na wewe
usiniletee kwere, mi na we tusonge mbele

na kama ice cream imeliwa ya vanilla
poa i like nice things, best believe im about my cheddar
best believe im about my cheddar
na kama ice cream imeliwa ya vanilla
poa i like nice things, best believe im about my cheddar
best believe im about my cheddar

best believe im about my cheddar
best believe im about my cheddar
best believe im about my cheddar
best believe im about my cheddar


siangalii nyuma, naangalia mbele
na nitasonga mbele na wewe
usiniletee kwere, mi na we tusonge mbele


[MashairiBongoFlava.blogspot.com]

Sign in kutumia akaunti yako ya Facebook kisha comment!