navojua mimi
kumpenda mtu, si dhambi, si dhambi yeah yeah
najua hupendi maudhi, natahidi nisikuudhi
na endapo ntakuudhi, isiwe kusudi, yeah yeah
\
naanzaje kukuacha, na moyo ndo ushauweka

Yeah, yeah, yeah, yeah
wasiwasi wangu mazoea, usiondoke nimekuzoea
samahani nimekukosea
usinione kucheka kumbe moyoni naumia
nina moyo sina jiwe, mengine nilaumiwe
Yeah, nilaumiwe, yeah!
\
naanzaje kukuacha, na moyo ndo ushauweka
naanzaje kukuacha, na moyo ndo ushauweka
naanzaje kukuacha, na moyo ndo ushauweka
naanzaje kukuacha, na moyo ndo ushauweka
naanzaje yeah, naanzaje yeah! yeah yeah
[Ngwair]
yoh kamwe sitoweza kukuacha
napenda unavyonipenda vile ninavyokupenda we acha
hata nikiwa kwenye hustle zangu mtaani
ni wewe tu pekee ninayekuwaza kichwani
daima unaweka msosi mzuri mezani
manukato ya kuvutia chumbani
honey, nimekuzoea jamani
ah nikuache wewe sasa niwe na nani?
yoh my number one na hauna mpinzani
ni wewe unayefuata tu after my money
nikupe jina langu la mwisho tuwe na Family
unizalie mapache nami nikuite mama wawili
yeah
\
naanzaje kukuacha, na moyo ndo ushauweka
naanzaje kukuacha, na moyo ndo ushauweka
naanzaje kukuacha, na moyo ndo ushauweka
naanzaje kukuacha, na moyo ndo ushauweka
Yeah, yeah, yeah, yeah
[MashairiBongoFlava.blogspot.com]
Sign in kutumia akaunti yako ya Facebook kisha Comment