Professor Jay ft Big Pin - Nakuita Njoo

Utakaataje nakuita njoo

nimekuchagua wewe, kubali kuwa mwenzangu
nakuita njoo, kama unasoma hisia zangu
sitaki kuona moyo wangu unataka pasuka
nakuita, mbona binti mrembo unataka kuruka

Njoo! nakuita wewe njoo karibu nami
unanitia kiwewe njoo uwe wangu mwandani
siwezi kukuaidi vitu nisivoviweza
nakupenda wewe ndicho kitu ninachokueleza
najua kumuamini mtu ni yataka moyo
sikiza basi mbona hufanani na wenye choyo
ngiri mkalia nyongo kobe mkonyeza nyusi
uje karibu yangu ni kunitolea nuksi
ah c'mon ma sikia nakuita njoo
sipo kwenye uhuni wala usiniite yoyo
njoo kwenye furaha, upendo mwingi na raha
malkia pekee mwenye mng'aro wa taa
mwili unakufa ganzi, moyo mpaka fikra
roho yangu ipo wazi tayari kuipush bikra

nakuita njoo
Njoo baby acha kusita
ni mimi wako sauti yangu inakuita
haya mapenzi wala si uwanja wa vita
Njoo njoo njoo njoo


Nakuita njoo! Niache baby hey hey hey
Nikuite utaitika ukisita nakuita tena
Njoo njoo njoo njoo haha

yeah
sitaki vicheche nakutaka wewe madam, haha
tupande ndege twende dar es salaam, haha yeah

Big Pin number one aha
hata uhakikishe unakaa na mi usi date celebrity
wapenzi kwa binadamu si necessity?
hata mi namahitaji nahitaji kutimiza
na baridi jua silali nimeacha wazi madirisha
nikiwa chini nilete juu, sistaduu
na mapozi na wewe ile dizaini ya Mr Blue
sijui nitembee mile 8 nipo slim nipo shady tu
bado hupatikani njoo my sweety treaty baby boo
Im just joking, dada come to me
its like holiday honez but actually
naeza picture wewe na mimi on a nice to my p
smoking ganja kwa balcony
hauna bus fare usijali, bado mi
nta walk with you ka amani na patoni na big pin he
baya sana trouble si watadamu wakisikia uko in love na mi
lakini hawatakuwa na sit tukienda zanzibar honey moon
tukikaa kwa beach na vinywaji ka malibu
tukinasa kili na matawi za mbali juu ana..
puliza juu vile si hufanya haha
yeah,...

nakuita njoo
Njoo baby acha kusita
ni mimi wako sauti yangu inakuita
haya mapenzi wala si uwanja wa vita
Njoo njoo njoo njoo


Nakuita njoo! Niache baby hey hey hey
Nikuite utaitika ukisita nakuita tena
Njoo njoo njoo njoo


nairobi mpaka dar kuna mabinti
oh yeah

haya basi wacha niwape story
sikizeni poa tegeni sikio la 'miss koli'

kuna idadi ya wanawake mradi nipate mate
nimpakate huyo dada nisawa nipate chake
manake mamake alimrithisha na vyombo poa joe
sura laini matiti hata masssss
si amebarikiwa! huyu dada mwenye pilipili kwa mwili
si siri amefanikiwa, kuwa rapper kumpa sweeter flow
nakupenda kwa dhati ndo maana nakuita njoo
Anyway, DJ alikuwa anafanya kazi ka kawaida
mi n'huwa ndani ya club mi huwa ni maji napiga
kema sijamsifu hata la
sa ni tembo kwa wingi
opposite sex na ma mini
sex si kamili kuna pressure kwa club
mademu ka sitini na mimi nieti kwa love


nakuita njoo
Njoo baby acha kusita
ni mimi wako sauti yangu inakuita
haya mapenzi wala si uwanja wa vita
Njoo njoo njoo njoo


Nakuita njoo! Niache baby hey hey hey
Nikuite utaitika ukisita nakuita tena
Njoo njoo njoo njoo


nakuita njoo
Njoo baby acha kusita
ni mimi wako sauti yangu inakuita
haya mapenzi wala si uwanja wa vita
Njoo njoo njoo njoo


Nakuita njoo! Niache baby hey hey hey
Nikuite utaitika ukisita nakuita tena
Njoo njoo njoo njoo




[MashairiBongoflava.blogspot.com]

Sign in kutumia akaunti yako ya Facebook kisha comment