Ngwair - Ndani ya Club


Niko ndani ya club like


Niko ndani ya club like, niko na chriss na
mose fedha, nami na mabinti na..
DJ D-White anapiga retrack
hakuna anayekaa, wote tunaruka

niko club, mi na honey, tuna'dance
watu wamejaa, na watu wana furaha
twende ma, twende ma usifunge breki
twende down, twende down, jinyonge kama snake
leo uko nami, wasikusumbue
si ni ma VIP wasitusumbue
leo nataka nikupe kile unachotaka
hata gari utapata tukirudi zetu home
tusisahau na alcohol, raha tu usiku huu
N'gwair

Niko ndani ya club like, niko na chriss na
mose fedha, nami na mabinti na..
DJ D-White anapiga retrack
hakuna anayekaa, wote tunaruka


Nipo ndani ya club like

kwenye seat, tumekaa tunapata drink
rangi yake, ya kung'aa ndio inaniua mi
sipatii ghetto, kukaa na huyu binti
kwani ye, ni kifaa sijaona mi
pamba alizovaa, sijui niseme nini
ma'superstar wanashangaa, huyu queen yuko nami
maduu wamekiri, matozi wamedata
mpaka six in the morning, ni mwendo wa Tusker!

oh oh oh ohhh
huyu mami, yaani ni mkali, ana sexy body
oh oh oh ohhh
Mentali, najivinjari
ukinikuta ndani ya club!

Niko ndani ya club like, niko na chriss na
mose fedha, nami na mabinti na..
DJ D-White anapiga retrack
hakuna anayekaa, wote tunaruka


Niko ndani ya club like, niko na chriss na
mose fedha, nami na mabinti na..
DJ D-White anapiga retrack
hakuna anayekaa, wote tunaruka

mami
natoa holla nakucheki kwenye corner
umekaa ulivyovaa mi mwenyewe nabaki like uhh
its ok usikonde, usichoke, tuwe wote usiondoke
unavyo'shake like uhh
jinsi unavyokata
mzee mzima ndo nazidi tu kudata


its all rule baby sema unachotaka
usione hatari kwangu vyote utapata
wala usiwe na shaka
nataka ugundue, ujue utambue
utanue na mimi, kwa ulimi nichimbe madini like uhhh
kwenye floor kisha kwenye kitanda
vumilia kinanda, nikihesabu hizo shanga, c'mon
we kwangu ni wa pekee na..
penzi lako tamu na..
usisahau kuniachia your number
and your name oh..
demu sio siri  unanipa starehe
na wiki ijayo nitafurahi we can  do it again


Niko ndani ya club like, niko na chriss na
mose fedha, nami na mabinti na..
DJ D-White anapiga retrack
hakuna anayekaa, wote tunaruka


Niko ndani ya club like, niko na chriss na
mose fedha, nami na mabinti na..
DJ D-White anapiga retrack
hakuna anayekaa, wote tunaruka


east zoo utatutaka, uhhhh
east zoo utatutaka, uhhhh

Uh
D'White, Frida, deep money, L'Single
Water, Downtown Records, top 20Vol II
Coming Soon, Uh, holla baby
You how we do this, Ngwair, uh, yeah

[MashairiBongoFlava.blogspot.com]