Mika anasema si umuache aende
mwache aende mhhh
domo dojo
kaniacha niende
nauliza
ni kitu gani hasa, kilichofanya mpaka mimi ukaniacha
ni kitu gani hasaa
ni kitu gani hasa, kilichofanya mpaka mimi ukaniacha
ni kitu gani hasa
ila ila, nimeshamuachia mola, apate la kuamua
juu ya mapendo niliyonayo juu yako
sikusema naye nilipomuona mfukwe
nakuniona nataka kum'suprise baby girl
ah, na mtu mwingine akaja mshika bega kabla yangu
simama nashangaa mara wana'kiss na baby wangu
tele ki'silencer nagubikwa machozi nikimuona mchumba
mhh, wakarudia tena kwa mara ya pili,
nikashindwa vumilia nikaenda zangu uhh, jifiche fanya urudi unanzuga
sikutaka anione zaidi ya mi kopa amefanya live
miche njirushe maji ya shingo nikafe kwa ku'dive
wakarudia tena kwa mara ya pili, nikashindwa vumilia nikaenda zangu, uhh
yeah yeah
mpaka naja jionea mwenyewe kwa macho yangu
nishasikia ila sikuamini hasira
hadi nahisi wakali usiku haisishi
mpaka naja jionea mwenyewe kwa macho yangu
nishasikia ila sikuamini hasira
hadi nahisi wakali usiku haisishi
matokeo yanapogeuka kuwa kweli
yu mjanja kushinda nimjuavyo yu tapeli
mapenzi ni kila anaye dina na kutabasamu
lakini kauficha upuuzi wake nyuma
alisema nakupenda nyingi zikalevya kiasi cha kikohoa ninatema
kipato changu kidogo dogo kinaishia kwake
kama penzi moto
kukosa penzi lako naona ka ni ndoto
nisingependa ku'share na mtu penzi lako
unieleze nimekukosea'ga nini?
mpaka naja jionea mwenyewe kwa macho yangu
nishasikia ila sikuamini hasira
hadi nahisi wakali usiku haisishi
mpaka naja jionea mwenyewe kwa macho yangu
nishasikia ila sikuamini hasira
hadi nahisi wakali usiku haisishi
najua utasema mi ndo chanzo ma
ingawa ilikuwa mapema ninge'change ila
for the sake of our love angalau pata picha eh
baada ya mi kustukia picha eh
najua utasema mi ndo chanzo ma
ingawa ilikuwa mapema ninge'change ila
for the sake of our love angalau pata picha eh
baada ya mi kustukia picha eh
ni kitu gani hasa, kilichofanya mpaka mimi ukaniacha
ni kitu gani hasaa
ni kitu gani hasa, kilichofanya mpaka mimi ukaniacha
ni kitu gani hasa
ila ila, nimeshamuachia mola, apate la kuamua
juu ya mapendo niliyonayo juu yako
[MashairiBongoFlava.blogspot.com]
Sign in kutumia akaunti yako ya Facebook kisha Comment!