Nishike mkono, kwani mimi ndiye wako
mpenzi tafadhali, usiniache mbali
Nishike mkono, kwani mimi ndiye wako
Baby tafadhali, usiniache mbali
sahau kuhusu mwili, nimeshakupa moyo
ni nimekukubali, we ua langu la roho
nipende kote uendako
moyo wangu uko kwako
wao waseme wasemayo
nimekuridhia wa moyo
siangalii pembeni, nisije kukwaza we mpenzi
sitaki penzi la pili, we ndie wangu wa kweli
Nishike mkono, kwani mimi ndiye wako
mpenzi tafadhali, usiniache mbali, mbaali
Nishike mkono, kwani mimi ndiye wako
Baby tafadhali, usiniache mbali, mbaali
Yapata miaka saba, lakini ni kama forever
mola amenishushia, naomba usije badilika
ntakuwa na wewe milele
tuangalie ya mbele
tusije haribu penzi wakasema..
kumbe hatuwezi
kama nilivyoahidi, katu sitovunja ahadi
nakukabidhi tena, moyo wangu ushauteka
Nishike mkono, kwani mimi ndiye wako
mpenzi tafadhali, usiniache mbali
Nishike mkono, kwani mimi ndiye wako, uhhh
Baby tafadhali, usiniache mbali, mbaali
Nishike mkono, kwani mimi ndiye wako
mpenzi tafadhali, usiniache mbali
Nishike mkono, kwani mimi ndiye wako, usiniache!
Baby tafadhali, usiniache mbali, usiniache mbali
Nishike mkono, kwani mimi ndiye wako, hey hey
mpenzi tafadhali, usiniache mbali
Nishike mkono, kwani mimi ndiye wako
Baby tafadhali, usiniache mbali
nishike mkono, usiniache
[MashairiBongoflava.blogspot.com]
Sign in kutumia akaunti yako ya Facebook kisha comment!