to all my niggas in the club keep your hands up
keep keep keep keep your hands up
and all my bitches in the club keep your hands up
keep keep keep keep your hands up
to all my niggas in the club keep your hands up
keep keep keep keep your hands up
and all my bitches in the club keep your hands up
keep keep keep keep your hands up
everybody wanajipongeza
na kila mtu yuko karibu ya meza
anasubiri yeye wake mwenza
mi nnapo slide huku we unacheza
huu ndo mziki number one
reggae utii huu uwanjani
njoo tucheze kwa company
vitu vyote hapa viko kwenye line
ukikosa kilimanjaro utakunywa hata wine
mtu akiwa juu mfate huko huko juu
ukimngoja chini utabaki sema tu
msogelee katikati kwenye flagi la bob marley welle survivor, hey
msogelee katikati kwenye flagi la bob marley welle survivor
kamata lager paraganyika ule bata kwa sanaa
nimeshakasirika naporomoka kwa sana
sitaki kukosea kuwaibisha ki sanaa
hii sanaa aah ahhh
kaunta zote zimezungukwa na wale ma mentali
wanazungusha ringi wanachana tu mistari
kiepe chipsi ndege nyanya chicha kachumbari
hatari, hatari
everybody come on dance with me
hey, kamata lady cheza nami,
everybody come on dance with me, hey yeah yeah
yeah, yeah
everybody come on dance with me
hey, kamata lady cheza nami,
everybody come on dance with me, hey yeah yeah
yeah, yeah
everybody come on dance with me
tabia ya kujenga beef mi siizimii
everybody come on dance with me
hey, yeah yeah
hili goma la mateja na wasomi vyuo kikuu
wakongwe watu wazima na hata wale wajukuu
kujirusha kila wiki sio lazima sikukuu
zidisha hizo lager yatakukuta makuu
usitafute shari upoteze uthamani
kupiganapigana haya mambo ya kizamani
masela wenye usongo wana wako marekani
wanatafuna cigar mnayoita nyi majani
ruka katikati tena kama vile hamtaki
ukiruka mwendo wa kasi huchezi tena mpaka kumekucha
daily najitahidi kuwarusha watu wangu
sigombani na mtu mi na dance tu kivyangu
bora aje mchumba nisifatwe na machangu
kwakuwa nikifumwa na jamaa itakuwa tabu
stimu zimepanda kila mtu anaona raha, hey
hivyo DJ ukiona mzuka umepanda zima taa, hey
ragga hili ragga rap P Funk majani
ni zawadi ya marasta marasta man
kwa kunitoa mpaka sasa nashika usukani
number one, mpinzani wangu bado hajulikani
Juma ni Nature man, Juma ni Nature man
Juma ni Nature, Juma ni Nature Juma ni Nature man
Juma ni Nature man, Juma ni Nature man
Juma ni Nature, Juma ni Nature Juma ni Nature man
everybody come on dance with me
hey, kamata lady cheza nami,
everybody come on dance with me, hey yeah yeah
yeah, yeah
everybody come on dance with me
hey, kamata lady cheza nami,
everybody come on dance with me, hey yeah yeah
yeah, yeah
everybody come on dance with me
tabia ya kujenga beef mi siizimii
everybody come on dance with me
hey, yeah yeah
[MashairiBongoFlava.blogspot.com]
Sign in kutumia akaunti yako ya Facebook kisha Comment!