Ben Pol - Samboira

mhh mhh iye iye iye iyeee
mhh mhh mhh mhh

asubuhi tu kukicha, mi nazianza pilika
mchana kutwa kutafuta, nikutunze langu ua

na uzuri ulonao, nakuacha nyumbani peke yako
roho inaniuma mwenzio, natamani nishinde kando yako
na uzuri ulonao, nakuacha nyumbani peke yako
roho inaniuma mwenzio, natamani nishinde pembeni yako

mi napata homa, jioni na watu ukisimama, mh
na roho inaniuma, sokoni kurudi umechelewa
mi napata homa, jioni na watu ukisimama
na roho inaniuma, sokoni kurudi umechelewa

samboira kuruse, sumu kanee viu ya kutali
jichunge mama, katu sitopenda, nikukose mpenzi we
samboira kuruse, sumu kane viu ya kutali

ushajua mi nakujali sana, ndo maana moyo wangu unaniuma
nakuomba kipenzi chunga sana, maana wapo wasopenda kutuona

wakijipitisha kutwa kucha, uwaambie kwangu umeshafika
usidanganyike na zao pesa, pamba na magari ni vya kupita
wakijipitisha kutwa kucha, uwaambie kwangu umeshafika
usidanganyike na zao pesa, pamba na magari ni vya kupita

samboira kuruse, sumu kane viu ya kutali
jichunge mama, katu sitopenda, nikukose mpenzi we
samboira kuruse, sumu kane viu ya kutali
jichunge mama, katu sitopenda nikukose mpenzi we

samboira kuruse, sumu kane viu ya kutali
jichunge mama, katu sitopenda, nikukose mpenzi we
samboira kuruse, sumu kane viu ya kutali
jichunge mama, katu sitopenda, nikukose mpenzi we

[MashairiBongoflava.blogspot.com]

Sign in kutumia akaunti yako ya Facebook kisha comment!