Nimeshakosa mambo mangapi
ila bado ukanipa nafasi
na ukasema kwamba huniachi
utanipenda milele
chozi lako mola kasikia
nami ninakiri upendo nimetulia
nitakupenda milele daima
daima, daima
chozi lako mola kasikia
nami ninakiri upendo nimetulia
nitakupenda milele daima
daima, daima
jamani sijamroga, ila ni mapenzi kwa sana
akiniona atanikumbatia, na kuniwish zaidi ya jana
mnatamani muwe mimi, mimi nami niwe nyie nyie
hilo haliwezekani, keshanihifadhi moyoni
emashanitunza sana kama mboni
nami nimemuweka rohoni
na kama kunibwaga ameshanibwaga tangu kule nyuma
naye yule msichana wa zamani, aliponifuma naye
eh aliponifuma naye
Nimeshakosa mambo mangapi
ila bado ukanipa nafasi
na ukasema kwamba huniachi
utanipenda milele
chozi lako mola kasikia
nami ninakiri upendo nimetulia
nitakupenda milele daima
daima, daima
chozi lako mola kasikia
nami ninakiri upendo nimetulia
nitakupenda milele daima
daima, daima
oh
ukinibwaga, ukinibwaga jua watanicheka,
watanicheka wataona nilijibwega
kwa haya niliyonena
haijalishi dini kabila langu na lake viweze kulingana
yeye mguu miye chake kiatu nina m'fit wala sijambana
na kama kunibwaga ameshanibwaga tangu kule nyuma
na yule msichana wa zamani, aliponifuma naye
eh aliponifuma naye
Nimeshakosa mambo mangapi
ila bado ukanipa nafasi
na ukasema kwamba huniachi
utanipenda milele
chozi lako mola kasikia
nami ninakiri upendo nimetulia
nitakupenda milele daima
daima, daima
chozi lako mola kasikia
nami ninakiri upendo nimetulia
nitakupenda milele daima
daima, daima
[mashairibongoflava.blogspot.com]
Sign in kutumia akaunti yako ya Facebook kisha comment!