natokea lake victoria, flow zaidi ya indian ocean
na'make hit songs, bila msaada wa promotion
huku na speed mother tongue, Mic nai'grab kama voltures
nipo deep zaidi ya blue sea, beef sifagilii
mie A wao Z'ee mashine nawapiga ka Bruce lee
wanang'ong'a mchana kutwa usiku wanakesha wanan'soma
eti nalongaga tu mistari, mikali huku naogesha goma
wakati ya kwao, waisifiayo mikali sijawahi kuiona
tena na tena wakipata zero wataitwa selfish
wawe wema wanaponi'miss, mi ntatenda zaidi ya segment
na roho kama christian adui naeza mgeuza red brick
na'punch zaid ya boxing ring, ma'emcee ni kama dustbin
wapo fake kama wedding ring ya whitney na bobby
cheki nnavyolipuka kama wafuasi wa Bin laden
cheki ninavyoibuka, again and again
sijisifii kuwafunika, emcee naheshimika
utii nahitajika, sisikii nnachoandika
wanaingia mitini kama Tarzan
Nnacho heshimu mimi ni yale maji ya hamsini ya azam
Ninapo' bounce nawe bounce bounce back kama tennis ball
Kama una bang, bang usikike zaidi ya gunshot
[wananiita king sababu na'drop punches, kwenye boxing ring zinaeza kumkimbiza tyson]
Ninapo' bounce nawe bounce bounce back kama tennis ball
Kama una bang, bang usikike zaidi ya gunshot
[wananiita king sababu na'drop punches, kwenye boxing ring zinaeza kumkimbiza tyson]
Nilianza kama masihara sasa na'make dollar
ni mwanajeshi nalo ni mchizi wanula kito
mpaka leo mi bado nipo
wengi wanautaka ufalme
Mi ndo kidume
wanafikiri kazi rahisi
wana ji'cosmetic fair
wanajipuliza perfume huku bado wananuka
wanajishangaa
wanapanda, wanashuka, wanapanda, wanashuka
nishazoea ki'hustle kitaa na wala similiki duka
kidume na stick mwanzo mwisho kati sitoshuka
wanakumbuka shuka tayari kumeshapambazuka
aliye tangulia katangulia hata ukilia bwana mdogo
jifunze kuvumilia, sifi njaa nachoma kama njaa
mtaani nakubalika mi ndo chao kifaa
nashow love na machizi mi ndo chao kifaa
moyoni sina kinyaa wakati ule mpaka leo
hivo nilivyo mimi haswaa
ndivyo nilivyo mimi haswaa
Ninapo' bounce nawe bounce bounce back kama tennis ball
Kama una bang, bang usikike zaidi ya gunshot
[wananiita king sababu na'drop punches, kwenye boxing ring zinaeza kumkimbiza tyson]
Ninapo' bounce nawe bounce bounce back kama tennis ball
Kama una bang, bang usikike zaidi ya gunshot
[wananiita king sababu na'drop punches, kwenye boxing ring zinaeza kumkimbiza tyson]
siwezi kuutaka u'Michael Jackson, lakini u'Fid Q unnalipa
so sana kama Mike Tyson, lakini naamini ntashinda
ukinichukia, huku unanichekea, nitakuacha unalia
Kimbia nnapotembea, ka' unataka kunifikia
niko fresh kama cucumber, Mjeshi bila magwanda
Cheki nnavyotambaa, kama TMK na mapanga
Nmepita mass kibao kama yule wa Uganda
Mwanza mwanza rum father utadhani Jeru the Damaja
Unasema eti ni njaa hiyo itakata kama ramada
Ninashindana mwenyewe sababu hakuna challenger
Motherland na'represent ka babaloo canada
kichaa kama ace payne, smart zaidi ya florida
ah ah you cant tell me nothing
kabla ya kukupa mkono kwanza naitemea mate
kujua ku'rap haimaanishi naijua Hip Hop
Unapoongea chap sio lazima u'Tongue twist kama twister
nliipoanza mziki sikujua fedha itauharibu
sikujua, mabinti wengi watataka ukaribu
Tunashindwa kujiamini kiasi cha kukosa chaguo
unapoisweka kabatini, kwamba dili kama nguo
ni hali halisi sio dharau na ni kweli mziki ni uhuni
Mzazi muombee mwanao mashetani yasimrubuni
Nilipo na nilipoanzia, sipo ninapohitaji nibaki
Pia sihofii kupitwa ili mradi muda usiniache
Ninapo' bounce nawe bounce bounce back kama tennis ball
Kama una bang, bang usikike zaidi ya gunshot
[wananiita king sababu na'drop punches, kwenye boxing ring zinaeza kumkimbiza tyson]
Ninapo' bounce nawe bounce bounce back kama tennis ball
Kama una bang, bang usikike zaidi ya gunshot
[wananiita king sababu na'drop punches, kwenye boxing ring zinaeza kummkimbiza tyson]
Ninapo' bounce nawe bounce bounce back kama tennis ball
Kama una bang, bang usikike zaidi ya gunshot
[wananiita king sababu na'drop punches, kwenye boxing ring zinaeza kumkimbiza tyson]
Ninapo' bounce nawe bounce bounce back kama tennis ball
Kama una bang, bang usikike zaidi ya gunshot
[wananiita king sababu na'drop punches, kwenye boxing ring zinaeza kumkimbiza tyson]
[MashairiBongoFlava.blogspot.com]
Sign in kutumia akaunti yako ya Facebook kisha comment