acha mziki unipe illness kama game ni business
nyaraka za siri nazichuja kama wecriss
kushine ni zali mafake wanagonga kopi
kuna, ma emcee wakali wanafichwa kama underskirt
kwa swagger za kilokole pesa ngumu siwezi pata
ikibidi namkopa mpole nakwenda kumlipa mtata
Hata pastor anafisadi sadaka mi msela nikizipata sio vibaya nikila bata
mi kauzu kama mkwanja ufukara naufanyia umafia
naingia kiujanja mfukoni ka' pesa bandia
kichwa kina hasira kama mfungwa asiye na hatia
mziki unanitoa bikira bila sex kama maria
mi ni kama talaka kwenye ndoa ya kahaba
ujumbe naufikisha haraka kama habari za msiba
bongo kila kitu fake mpaka haraki rosh
fisadi amevaa koti limeandikwa ndikuroshi
kawaambie watoto wa mtaa
Nishalala na njaa
nilipigika ile kiasi kwamba
sijakimbia mtaa na nnasaka chapaa
siogopi cause im the lucky number
kawaambie masela zilla lucky number
unaniona kwa mtaa
Mi ni lucky number
kawaambie masela im the lucky number
cause im the lucky number
Brain ina expand na ku squeeze kama elastic
ka utambi kwenye fire wana melt kama plastic
nikikohoa nnawatisha wanashtuka
mi ni msafi sina doa nasafishwa kam kanisa
Ka changudoa akijituma kwenye ufuska
Mi ni mkali nakunoa we ni chuma mi ni tupa
kabla ya ugomvi ibilisi anasema puta
mi ni konda mstaarabu ukiniomba nakuacha tuta
mkono ukishika kalamu brain inatema maneno
kwa hii mistari sio album tu ntauza mpaka demo
napigana na mnafiki asiyejua mziki kazi
kwangu anaeza kuwa rafiki na akashindwa kuwa mshikaji
ninapomuongoza kipofu mpumbavu ataniita chongo
punches zina uharibifu zaidi ya mafuriko bongo
do ananitangazia eti mimi bishoo sana
demu wake ananiomba nipunguze usela tutaona
kawaambie watoto wa mtaa
Nishalala na njaa
nilipigika ile kiasi kwamba
sijakimbia mtaa na nnasaka chapaa
siogopi cause im the lucky number
kawaambie masela zilla lucky number
unaniona kwa mtaa
Mi ni lucky number
kawaambie masela im the lucky number
cause im the lucky number
hello!
mtaani na nakitifua hadi polisi wana info
siri zangu kwa kifua na tattoo kama kristo
wanazani wakishua ganja zangu kwenje simple
ukizingua, kichwa chako napasua tu na pistol
maintain kwenye brain, explain tena brief
hapa ganja na cocaine, mi na sell we una sniff
una rap una foka, una pusher una mocca
mi nazama mpaka jela nyapara namtolea posa
umeanza na umesanda mi ni tisa lucky number
ukijeleta kama swala, nakumeza kama mamba
Mi ni Zilla!
kawaambie watoto wa mtaa
Nishalala na njaa
nilipigika ile kiasi kwamba
sijakimbia mtaa na nnasaka chapaa
siogopi cause im the lucky number
kawaambie masela zilla lucky number
unaniona kwa mtaa
Mi ni lucky number
kawaambie masela im the lucky number
cause im the lucky number
[MashairiBongoFlava.blogspot.com]
Sign in kwa kutumia akaunti yako ya Facebook kisha comment