R-city is in the House
we in the house
river for life
in god we trust!
nnaposhika microphone wana'blow
ladies and gentlemen welcome to the joh makini show
karibu tena kwenye shoo za joh
flow za joh, nyeusi ngumu hard to the core
mwendelezo mwingine wa mapinduzi ya kiuandishi na flow
mjionee jinsi nnavyo'control
bila ku'loose wakati una'loose control mi nna'score
faster kushinda bruce willis ndani ya die hard four
karibu tena msafiri, pole na uchovu wa safari
za hapa bado si shwari, pumzika nikupe habari
life sio fair bado wengi wanatumia mabavu
karibu tena mitaani you know umoja ni nguvu
usisite usihofu kisa hayo makovu
usiogope usijali unapokumbuka maumivu
no pain, no gain, welcome again!
karibu tena mtaani kwenye hili darasa
karibu tena kwenye show za joh
mwendelezo mwingine wa mapinduzi ya kiuandishi na flow
karibu tena kwenye show za joh
you already know what im about, now you already know

cheza japo fair kidogo Mr afisa
unaziekea ofisi please staafisha
wasomi bado ni watumwa kwa wanasiasa
inahitajika machale na umakini usilale ili wale wasikulishe ujinga wakutawale
shughuli nyingi chap chap chapa isilale
spread love ndo kumuenzi Bob Marley
wamefurahi wale ambao huzuni imewajaa
In god we trust yes ye ndo driver
Now let me take this one back to river
viva for conscious im a soul survivor
believe that baby mama afrika ni ya diva
as long as here this message is delivered
we wear pride ??but we forgot that we're?? continent
there is no such a truth in the Internet
karibu tena kwenye show za joh
mwendelezo mwingine wa mapinduzi ya kiuandishi na flow
karibu tena kwenye show za joh
you already know what im about, now you already know
karibu tena kwenye show za joh
mwendelezo mwingine wa mapinduzi ya kiuandishi na flow
karibu tena kwenye show za joh
you already know what im about, now you already know
karibu tena kwenye hili do
amerudi kama mpangaji aliyekuwa mmliki kabla ya uhuru
tuamini kwamba hatatudhuru
au tufunge na kusali kwa pamoja huku tukiomba nuru
kwa imani mpaka shetani atakapo'retire
maamuzi niliyonayo ndo haya
kawaulize machizi sinoni daraja mbili na fire
unakuhitaji kwa high nakupeleka higher
your office we tear??? just respect my conglomerate
people buy even death certificates
guns jewels and cars but not respect
its for my people and i aint finished it yet
im on my own level sihitaji kwenda next
cross that line meet Joh's punchlines
ni zaidi ya gold kwenye hizi mines
yes im fine wapi deal kubwa ni sign?
karibu tena kwenye show za joh
mwendelezo mwingine wa mapinduzi ya kiuandishi na flow
karibu tena kwenye show za joh
you already know what im about, now you already know
karibu tena kwenye show za joh
mwendelezo mwingine wa mapinduzi ya kiuandishi na flow
karibu tena kwenye show za joh
you already know what im about, now you already know
[MashairiBongoflava.blogspot.com]
Sign in kutumia akaunti yako ya Facebook kisha comment!