Cyril ft Soprano - Nimerudi


yeah
you thought i was done right?
Homie you' dead wrong, im just starting!
IM BACK!

Mi nnajua mmeni'miss sana, dar es salaam!
watu wangu wa kitaa
Mi nnajua mmeni'miss sana, hey!
watu wangu wa kitaa!

Nilinyamaza kwasababu, nimerudi kwasababu
nafanya kwa ma'fanz yeah na hiyo ndo sababu
najua mnani'miss nami nawamiss pia
kwenye mia toka six mpaka seven hamjaniskia
nimerudi kama hivi cyril toka TZ na ma'style kama hivi
ajali mbili hazijaweza kuniweka chini
hustler wa mtaa ye bado yuko njiani
bado najiamini, bado nipo nanyi
bile nyie ma'fans yeah naamini hakuna mimi
ndo maana im so happy kurudi kwenye game
peace kwa ma'fanz na supporterz kila sehemu
long time homies, long time sana
jah's blessings nazidi tu kufanya
kwenye ajali mbaya na still nikatoka
ndo maana sitochoka hizi chele kuzisaka

Mi nnajua mmeni'miss sana, dar es salaam!
watu wangu wa kitaa
Mi nnajua mmeni'miss sana, hey!
watu wangu wa kitaa!

Na hii  MIC nimeshika toka ninety-nine
homie ni zamu yangu so nipishe kwenye line
nime'hustle sana toka usiku mpaka mchana
wanaficha sura ah waliobana jana
nilikuwa kimya kitaa nasaka hizi dough
you already know, the kid mwenye killer flow
i miss you, goddamn i miss you
ni kama ninavyomis giadam na kingston
nafahamu kuna mengi yamejaa kwenye vichwa
diss za machizi daily kila kukicha
na walizani nimepotea nimerudi wamejificha
nilikuwa nimekaa chini na master plan nawakacha
nilivyoviacha kwenye game bado havija'change
mitaa inanihitaji mi nilete hizi change
nimeibuka toka chimbo nika bang na hii track
okay, waambieni, the kid is back!

Mi nnajua mmeni'miss sana, dar es salaam!
watu wangu wa kitaa
Mi nnajua mmeni'miss sana, hey!
watu wangu wa kitaa!

Mi nnajua mmeni'miss sana, dar es salaam!
watu wangu wa kitaa
Mi nnajua mmeni'miss sana, hey!
watu wangu wa kitaa!



[MashairiBongoFlava.blogspot.com]


Sign in kutumia akaunti yako ya Facebook kisha comment!