aye kichwa kinauma yeah
kichwa kinauma, kichwa kinauma, yeah iye
kichwa kinauma, kichwa kinauma, yeah, iye
kichwa kinauma, kichwa kinauma, yeah iye
kichwa kinauma, kichwa kinauma, yeah iye
zile dili tulizofanya bwana hazijalipa, sasa tutafanyaje?
zile dili tulizofanya bwana hazijalipa, mpaka kichwa kinauma!
aye tutafanyaje, sio siri bwana kichwa kinauma!
aye kichwa kinauma, sio siri bwana kichwa kinauma
[CHEGE/DORO]
kichwa kinauma, kila nikijituma badala ya kwenda mbele ninarudi nyuma
vocal tunarusha na ngoma zinavuma lakini kimapato bado tupo nyuma
aye, kichwa kinaniuma /Hata mimi hiki kichwa kinaniuma/
aye kichwa kinaniuma jama /sio siri kwani kichwa kinaniuma/
hapa nikute, mizunguko yangu nimefanya empty
/Ndugu yangu we/, asinifokee,
mpenzi wangu nikirudi basi anipokee namuomba
haki vile mama yako dili zimebuma /yeah zimebuma/
sio siri doro mi sirudi nyuma /yeah
yeah yeah yeah
zile dili tulizofanya bwana hazijalipa, sasa tutafanyaje?
zile dili tulizofanya bwana hazijalipa, mpaka kichwa kinauma!
aye tutafanyaje, sio siri bwana kichwa kinauma!
aye kichwa kinauma, sio siri bwana kichwa kinauma
....
....
mawazo yameniteka akili kama Jay mo
Fikra zinamaliza kichwa zaidi Jide komando
Maisha mafupi yanaenda mbio hadi so ona
wamevurugwa machinga kariakoo
unamfahamu solja, im born to suffer
kile ninachohitaji, sio rahisi kupata
pesa matumizi ila usisahau zile bata
wenye??????????? sababu uzingatie sadaka
Kichwa!
zile dili tulizofanya bwana hazijalipa, sasa tutafanyaje?
zile dili tulizofanya bwana hazijalipa, mpaka kichwa kinauma!
aye tutafanyaje, sio siri bwana kichwa kinauma!
aye kichwa kinauma, sio siri bwana kichwa kinauma
[ASLAY]
Nyumbani baba hana pesa
Lile dili walopanga bosi kamtosa
ukicheki headmaster anataka pesa
baba naye hana pesa za kunisomesha ah
hadi kichwa kinauma
[TEMBA]
malaria si malaria mwili wote nyang'anyang'a
Biashara kuuza nyanya chali yangu haziuziki
unabaki tu nimenunua ndonga inauma
mitikasi imebuma, au nikaishi kwa Zuma?
Mbona hatupewi chetu na nchi naskia imeuzwa?
Biashara zipo hamna soko polisi wanako
Tyson punguza unoko
kama we kiboko, kawashike masela wa Boko
Hali ni tete huku mitaani
Tunauguaugua hovyo
Tunaumwa ugonjwa wa shida?
Hivi nyie Tanesco, mnafanya makusudi eh?
mnaona raha kuzimazima tu
Tutawalaani, ah jamani
C'mon
zile dili tulizofanya bwana hazijalipa, sasa tutafanyaje?
zile dili tulizofanya bwana hazijalipa, mpaka kichwa kinauma!
aye tutafanyaje, sio siri bwana kichwa kinauma!
aye kichwa kinauma, sio siri bwana kichwa kinauma
mi maskini, kichwa kinauma [eh kinauma]
hata matajiri nao kichwa kinawauma [wote kinauma]
mi maskini, kichwa kinauma [ah wote kinauma]
hata matajiri nao kichwa kinawauma [eh wote kinauma]
kichwa kinauma, kichwa kinauma, yeah iye
kichwa kinauma, kichwa kinauma, yeah, iye
kichwa kinauma, kichwa kinauma,
kichwa kinauma, kichwa kinauma, yeah, iye
yeah iye!
[MashairiBongoFlava.blogspot.com]