Nikki wa Pili ft Linah - kitu changu



helo
naje naje mama mamushi
ka unajua nnavofanya ni mimi papa papush
kama nipo mlangoni na nimerudi arusha
mori ka mmasai sio mori kasinza
mtamu kama mtibwa sio chumvi ka uvinza
unataka kunywa kuvaa mamaa go ahead
kuwatunza mademu pia mi comrade
sio kulipa kodi tu na kununua pedi
nasimamia mgodi ka machizi wa unga ltd
chakula kitamu sauti has been good
msichana mrembo sa she has been pimped
nikiongea ni kama mziki ndo maana anacheza
na mifuko ya plastiki inavutika napendeza
blue jeans black top babe ipe ripoti
nikuongeze sneaker chini juu kikoti
ukinimiss mi sio picha mi huwaga natuma noti
wala sihitaji bikira bali niwe na amani hata bila ya mipira

ni zaidi ya gari la kuendesha
ni zaidi ya nyumba ya kuegesha
kitu chake kizuri ni mimi ananipendezesha

ni zaidi ya gari la kuendesha
ni zaidi ya nyumba ya kuegesha
kitu chake kizuri ni mimi ananipendezesha

im not lonely  im rich of mahaba nimem'teach
zimemjaa furaha mpaka nahitaji ma'snitch
anaonekana mbichi, ananihusuniki kila siku nam'switch
namtunza natural ngozi haja'bleach
kumtunza niko deep sana, deep siwafichi
Im not done im done did it

hatuvunji mlango, tunachongesha funguo
sababu tuko uchi au hata kama ni nguo

hunipa ladha ya matunda  kwani
mapenzi yanaanzia pale kwenye bustani

hatuvunji mlango, tunachongesha funguo
sababu tuko uchi au hata kama ni nguo

ni zaidi ya gari la kuendesha
ni zaidi ya nyumba ya kuegesha
kitu chake kizuri ni mimi ananipendezesha

ni zaidi ya gari la kuendesha
ni zaidi ya nyumba ya kuegesha
kitu chake kizuri ni mimi ananipendezesha

Okay
anaonekana video na mtazamo wa mtaani
studio yake ni mimi nnayemfanya Number. one
bila makeup lady nimem' upgrade
kuwa queen mtawala wa hii love nation
ukipepea bendera yake tu ni temptation
na, ni kama wako unayemuona kinyaaa
nimemtunza kijanja ndo maana bado anang'aa
wala sihitaji bikira bali niwe na amani hata bila ya mipira

hatuvunji mlango, tunachongesha funguo
sababu tuko uchi au hata kama ni nguo

hunipa ladha ya matunda  kwani
mapenzi yanaanzia pale kwenye bustani

hatuvunji mlango, tunachongesha funguo
sababu tuko uchi au hata kama ni nguo

ya kuegesha

ni zaidi ya gari la kuendesha
ni zaidi ya nyumba ya kuegesha
kitu chake kizuri ni mimi ananipendezesha

ni zaidi ya gari la kuendesha
ni zaidi ya nyumba ya kuegesha
kitu chake kizuri ni mimi ananipendezesha