Malfredy - poyoyo



Nikisema gimme gimme gimme
ah gimme gimme gimme
nisiposema gimme gimme gimme
ah
yo, na sio unione poyoyo poyoyo


kila unapopita ninapata raha
na usipopita ujue sina raha
nahisi najua utasema ninakukera
lakini wewe ndo unanipa raha

unaniona poyoyo poyoyo
hata nikikuita waniona poyoyo
nikiongea poyoyo poyoyo
usinidharau waniumiza moyo
kivipi basi mwenzio unione poyoyo
hata nikikuita waniona poyoyo
Nifanye nini usinione poyoyo
usinidharau waniumiza moyo


gimme gimme gimme gimme gimme that
nami pia nipate raha
gimme gimme, gimme gimme that
Nijisikie ninapendwa
gimme gimme gimme gimme gimme that
Ambacho ninapenda
gimme gimme, gimme gimme that
Lolote nitatenda

elewa kwangu we ndo Number one
unionavyo usoni, sivyo nilivyo moyoni
uzuri wako unanifanye niwe down
kwa kutaka kile mi ninachohitaji moyoni

wapo wengi kama wewe bado wanazagaa
wakitafuta waende wapi pa kutulia
maana walipopendwa walijawa na tamaa
mpaka sasa ukiwatazama wamefulia

gimme gimme gimme gimme gimme that
nami pia nipate raha
gimme gimme, gimme gimme that
Nijisikie ninapendwa
gimme gimme gimme gimme gimme that
Ambacho ninapenda
gimme gimme, gimme gimme that
Lolote nitatenda

kila unapopita ninapata raha
na usipopita ujue sina raha
nahisi najua utasema ninakukera
lakini wewe ndo unanipa raha

unaniona poyoyo poyoyo
hata nikikuita waniona poyoyo
nikiongea poyoyo poyoyo
usinidharau waniumiza moyo
kivipi basi mwenzio unione poyoyo
hata nikikuita waniona poyoyo
Nifanye nini usinione poyoyo
usinidharau waniumiza moyo

gimme gimme gimme gimme gimme that
nami pia nipate raha
gimme gimme, gimme gimme that
Nijisikie ninapendwa
gimme gimme gimme gimme gimme that
Ambacho ninapenda
gimme gimme, gimme gimme that
Lolote nitatenda

nnapoongea yo sihitaji ubadili moyo
weka, wako msimamo pengine nsije umia moyo
wacha dharau kwa kuniona poyoyo
nipe heshima kwa jinsi nilivyo
niyasemayo
hivyo ndivyo mi nilivyo, ndivyo hivyo nitakavyo vile mimi niwezavyo

nikiwa nawe nitakuwa mwenye raha
unipe raha, nipate raha
na usiniache na majeraha
usiniite poyoyo
hata nikikuita usinione poyoyo
nikiongea usinione poyoyo
usinidharau waniumiza moyo
kivipi basi unione poyoyo


gimme gimme gimme gimme gimme that
nami pia nipate raha
gimme gimme, gimme gimme that
Nijisikie ninapendwa
gimme gimme gimme gimme gimme that
Ambacho ninapenda
gimme gimme, gimme gimme that
Lolote nitatenda

gimme gimme gimme gimme gimme that
nami pia ni..






[MashairiBongoFlava.blogspot.com]