Nasumbukia kweli ndo hasa inayohusu, kipimo chenu bora Bye Bye
Mi chakibusu bye bye, bye bye, bye bye, bye bye
GMF Baby, R-City is in the House
siwezi kusema nisingekuwepo, isingekuwepo hapa ilipo
Bila umakini kuwa hapa isingekuwa simple
naikaza nakuifanya for my People
Nawakilisha Arusha kama Christopher wallace
and V.I.O Okay...L.Y.N, I'm going in
Niliumbwa mimi kipya hakiwezekani
na mamlaka niliyonayo kanipa mwenye mamlaka
ni love ndo tuliagizwa bila shaka
tusiishi ovyo bali kama mungu alivyotaka
Mengine yatafata, siwezi kuacha
hii kitu ni culture, tangu mimi ni rapture
iko ndani ya moyo, na pia.. muuaji anapofiwa hulia
Machozi halisi sio bandia
chunga sana mtaa ume'loose 'fear'
Muhalifu huitwa mteja na wakili mwanasheria
sheria za maisha ya viongozi sifate na kufanikisha
mwananchi na sheria za serikali ni waya mkali
iliyotokea arusha hii ndio maana kamili
naishi kwa ajili ya ghetto sinoni daraja mbili
Nasumbukia kweli ndo hasa inayohusu, kipimo chenu bora Bye Bye
Mi chakibusu bye bye, bye bye, bye bye, bye bye
Nakuweka zangu juu so kushusha zako chini kipimo chenu bora bye bye
Mi chakibusu bye bye, bye bye, bye bye, bye bye
simameni,
hakuna kupigania haki zenu
tasnia hii Tanzania, mapigo is on the Menu
ah, mapigo is on the Menu choose One!...
Nafanya hizi semi wanasema juu ya majukwaa
nawapa taabu..hizi, hizi kuandika hatu'copy kwenye vitabu
usinitafutie sababu shika lako nitakuharibu babu
Pole sana kama umekushinda ustaarabu
GMF baby harakati ni magirinyi????
nipo kwenye nchi ya mungu hawafwati
mbele wamemweka Kaisari, mtaani moto....
Jela moto kuna pindisha hawanyoki
Kivyati madarakani ni mzoefu hang'oki
wanapumulia gizani muhusika hawajibiki
ni kama haina majoto masikini hafilisiki
uduwanzi, kichapo mkiaandamana kwa allowance
kama bado haitoshi wanazichapa ki'dowans
Mr politician.. pooza kidogo nishai
Nishapuliza kitu cha arusha nipo high
we gheto flies speed kali kama highway!
?? I think im doc tangu lini???? - alazwe pema
faza nelly- alazwe pema
mwalimu nyerere - alazwe pema
sokoine - mahala pake
ya lookin for the real G and im the one you see..seek!
R- City in the House
Nasumbukia kweli ndo hasa inayohusu, kipimo chenu bora Bye Bye
Mi chakibusu bye bye, bye bye, bye bye, bye bye
Nakuweka zangu juu so kushusha zako chini kipimo chenu bora bye bye
Mi chakibusu bye bye, bye bye, bye bye, bye bye
simameni,
hakuna kupigania haki zenu
tasnia hii Tanzania, mapigo is on the Menu
ah, mapigo is on the Menu choose One!...
[MashairiBongoFlava.blogspot.com]