Dyna ft Barnaba - Nivute kwako


uhhhh
ohhhhhhh


Nivute kwako Niwe wako milele
Nivute kwako, nivute baby

Nivute kwako ,Niwe wako milele
Nivute kwako, nivute

najua unanipenda nami nakupenda wewe
Najua nakupenda ila nakungoja uanze wewe

Moyo wangu, wakupenda wewe pekee
Nivute kwako, Nitoe huu upweke
akili yangu, yakuwaza wewe pekee
Nivute kwako, Nitoe huu upweke

endapo utasema hutokaliwa [wewe!]
endapo utasema hutofikiriwa
endapo utasema utakubaliwa
utakubaliwa baby!

Nivute kwako, Niwe wako milele
Nivute kwako, nivute baby

Nivute kwako ,Niwe wako milele
Nivute kwako, nivute

Kama kukuvuta ntakuvuta, ila upendo wangu kwako usijeshuka
ziko shida nyingi na mabalaa, vumilia hata tukishinda njaa
mola hugawa ridhiki kwa mafungu, subiri zamu yetu atafika kwetu

Uh ziko shida usijali, usijali usijali
mi ni wako tayari, tayari tayari
ziko shida usijali, usijali usijali
mi ni wako tayari, tayari tayari

uhh baby

Nivute kwako, Niwe wako milele
Nivute kwako, nivute baby

Nivute kwako ,Niwe wako milele
Nivute kwako, nivute

kapanga yeye!
mimi kuwa nawe!
uwoga utowe!
ungechelewa ningesema mwenyewe!

Nivute kwako, Niwe wako milele
Nivute kwako, nivute baby

Nivute kwako ,Niwe wako milele
Nivute kwako, nivute