imekula kwako, oh
imekula kwako, oh
imekula kwako
Kama unabana ukidhani ntakata tamaa
Imekula kwako
weka mapozi ukidhani ntakubembeleza
imekula kwako, oh
kuna tofauti sana, kati mi na wewe
sina cha kuogopa, zaidi ya uoga wenyewe
dua la kuku siku zote halimpati mwewe
wanaongea blah blah, naskia kelele
wameingiwa na wenge, cheki mchizi toka mwenge
na'supply air hapa Bongoflava mpaka Genge
Najua ni'market vipi game yangu
so huwezi kunieleza nimwambie kipi demu wangu
naishi maisha yangu, naweka fikra zangu
nasali sala zangu, peke yangu kwa mungu wangu, [awasawa]
nawakilisha kuubeba mtaa juu
Ndo maana na'push rhymes kama ngumi za uzito wa juu, [duh]
hii ni fursa kila anayetaka anapata
Kama Nick maujanja sijawahi kutoka kapa
hawachelewi kusema, 'usiku mwema mpenzi'
ubarikiwe sana, tu'meet tena weekend
Hola!
imekula kwako,
imekula kwako, oh
imekula kwako, oh
imekula kwako
Kama unabana ukidhani ntakata tamaa
Imekula kwako, eh
weka mapozi ukidhani ntakubembeleza
imekula kwako, oh
kama dunia ingekuwa si tambala bovu
ningeungwa mkono na wanoko mpaka wachovu
kwasababu wanadhani mi nakula mbivu
basi wanaamua kubana kwasababu tu ya wivu
wanasahau ku'rap kipaji changu
kwani hakuna mtu mtaani mwenye zali kama langu
wanaishia ku'copy mistari ya kazi yangu
wakitoka, hawataki kuiosha miguu yangu [ah ah]
tunachapa siku ya pili tunakacha
Nacheza tik-taka watu ah, utanitaka?
potelea mbali, na sisi hatujali
hata ukitoa macho ka umebanwa kabali
aisee, ni yangu na si ya wazungu
tunamuomba mungu, aepushe magundu
Binadamu ni watundu, mpaka chini ya uvungu mwanangu
utakula vitu vyenye ukungu vichungu
imekula kwako,
imekula kwako, oh
imekula kwako, oh
imekula kwako
Kama unabana ukidhani ntakata tamaa
Imekula kwako, eh
weka mapozi ukidhani ntakubembeleza
imekula kwako, oh
imekula kwako,
imekula kwako, oh
imekula kwako, oh
imekula kwako
Kama unabana ukidhani ntakata tamaa
Imekula kwako, eh
weka mapozi ukidhani ntakubembeleza
imekula kwako, oh
[MashairiBongoflava.blogspot.com]