D knob - Bora tumeachana

yeh yeh yeh ,respect!
kwani haya sio mapenzi ya siku zote,ndio maana mwenzio naumiaga moyoni
kwani haya sio mapenzi ya siku zote,ndio maana mwenzio naumiaga moyoni.

:
i hate to say it, but, bora tumeachana, tulipendana kwa dhati,
tukatengana kimasihara, haikuwa deal yaani,
alitoka nje sikurudi ndani, asubihi ilikuwa shwari,
i guess we both had sum fun, sikupenda alivyonitreat,
hakupenda nolivyomcare, sikufeel aliponikiss,
hakuenjoy nilivyomkwea, utofauti sio kilema waliosolve waliongea,
kuongea sio kuelewa nahisi ndio maana akaanza afair
,kuelewa sio kuelewa ndio maana nikaanza afair, nilivyompata wa kunitreat,
alimpata wa kumcare, nikafeel alivyonikiss,
akaenjoy alivyomkwea, ilivyoota mizizi kila mmoja akanogewa,bora.

:
mapenzi gani ya kukatana stimu maa,bora tumeachana na na, whu,ah,
mapenzi gani ya kukatana stimu maa,bora tumeachana na na, whu,ah
kila siku makele kwani,bora jana kuliko leo,mavurugu hayaishi nyumbani, iii iii ii ,yeh yeh yeh.

:
alinichagulia suti, alinifunga tie,
sikumvisha pete kugushi, kumchezea we got married,
alinifunga shoes, alinikiss bye, home nilivyochelewa kurudi,
alimind nilisikia wivu aliposifiwa barabarani, nilivyomwosha mgongo,
nae aliuosha mine nilivyomrisha kwa mdomo, machoni alinitani,
sex sio kikomo,kila kona tuliburn, out nilivyomshika kiuno, alinishika begani,
hakuna aliyejua mwisho, nani angekuwa nani, cuz hivi navyoongea yuko,
mbali anajivinjari na kijana wa kitaani,nami niko juu nammega shani bora.

mapenzi gani ya kukatana stimu maa,bora tumeachana na na, whu,ah,
mapenzi gani ya kukatana stimu maa,bora tumeachana na na, whu,ah
kila siku makele kwani,bora jana kuliko leo,mavurugu hayaishi nyumbani, iii iii ii ,yeh yeh yeh.

:
wanasema aliyependa,akichoka ndio amekwenda,
na aliyekwenda akipotea,anahitaji maajabu kurejea,
aliyechoka kutembea,atakaa au atakimbia,tumeumbwa kupondea,
kukinai na kuzoea,watoto wanadata na vurugu za chumbani,
hisia zikikata hakuna cha udi wala ubani,wivu tuliojua zamani,
sasa hatuujui kuna kipindi alirudi nite kali,nikarudi asubuhi,
beef tulizozijua zamani,kamwe hatuzijui,
sasa tunagonganishana magari na hazirushwi ngumi,
kuachana sio poa ila sumtime inabidi,
kupata mwanya wa kujitambua,na kuheshimu maamuzi,ndoi deal.