(Ray C)
nilishasema sitokuja penda tena
na nikasema sitoumizwa tena
nikaja kutana na kijana wa Nairobi
anipenda nashindwa kukataa
mapenzi moto moto anilea ka mtoto
penzi lake lanimaliza nampenda sijiwezi
Chorus (Ray C)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto
(French Boy)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto
Verse 2 (French Boy)
nimependa huyu dame wangu ye ni malaika
urembo wake wajiuza my cherie nimedata
oh no nimechizi mpaka sijiwezi
na siwezi ishi bila ye ndiye mahabubu
yeye hunitibu ye ndio tabibu
kwaya nayo ni sibu
penzi lake lanimaliza nampenda sijielewi
Chorus (French Boy)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto
(Ray C)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto
Verse 3
ni hot inachoma
her love for me makes me sing ooh
ni hot inachoma
her love for me...
Chorus (Ray C)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto
(French Boy)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto