Diamond - Kamwambie

Nenda kamwambie, ahaaa, jinsi navyompenda me,
ahaa, na kama mapenzi bado, ahaaa,mwambie ntayaongeza me.
Nasema kamwambie, ahaaa, jinsi navyompenda me,
 ahaa, na kama mapenzi bado,  ahaaa,mwambie ntayaongeza me.

So ningemuhonga nyota na mbalamwezi,
 viwe mali yake yeye, natamani ila tatizo siwezi,
huenda ingefanya anielewe.
Hakuona, si alinifunza mapenzi, nilikuwa sijui kamwambie,
akanidekeza kishenzi, kwa nyimbo nzuri nimwimbie.

So asidanganywe na gari, burudani na fedha mimi akanichukia,
akalishusha thamani penzi nalompenda kisa mvinyo na bia
Asidanganywe na gari, burudani na fedha mimi akanichukia,
mmh, mwambie asisikie mapenzi moyo wangu unaumia yeah.

Nenda kamwambie ahaaa, jinsi navyompenda me,
ahaa, na kama mapenzi bado ahaaa,mwambie ntayaongeza me.
Nasema kamwambie ahaaa, jinsi navyompenda me,

Nasema siku hizi huwaga hakuna fungate, mapenzi hayana thamani,
 hivyo mwambie wanaopenda wachache, wengi wanatamani.
Uuuh wanaanzaga kwa tafadhali, wakishapewa wanapotea,
nenda mwambie ajihadhari, na dua njema namuombea.

So asidanganywe na gari, burudani na fedha mimi akanichukia,
akalishusha thamani penzi nalompenda kisa mvinyo na bia
Asidanganywe na gari, burudani na fedha mimi akanichukia,
mmh, mwambie asisikie mapenzi moyo wangu unaumia yeah.

Kamwambie