Soprano - Nasema Go

Nasema Goooo! goooo! sikutaki teeeena!
Nasema Goooo! gooooo! sitaki kukuona!
Nasema Goooo! Go Go Go Go Go Gooooo!
Nasema Goooo! Go Go Go Go Go Gooooo!

Huo uzuri wako ulijiona malaikaa
Ukajihisi una mbawa unapaa
na hiyo figure yako kama ya chupa
na ulivaalo ulivyolipuka
na kila ulipotembea wanaume walikuita
na miluzi walivyokupigia
mapozi yakazidi ukajiona staaaaa, staaaaa

Nlipopiga piga simu ulikata
Nilipokufuata ulidata
Nlipokuwa nakuita ulikataa
Vipi leo unashoboka!

Nlipopiga piga simu ulikata
Nilipokufuata ulidata
Nlipokuwa nakuita ulikataa
Vipi leo unashoboka!

Nasema Goooo! goooo! sikutaki teeeena!
Nasema Goooo! gooooo! sitaki kukuona!
Nasema Goooo! Go Go Go Go Go Gooooo!
Nasema Goooo! Go Go Go Go Go Gooooo!

Hebu mzomeeni, hebu mchekeni Huyooo!
Hebu mzomeeni, hebu mchekeni Huyooo!

ajuja kwa mbali, nna mke nyumbani, nyumbani yeaah
Sitaki tena vicheche jamaani, jamaaani
alininyanyasa, alinitesa,
nikiwa sina raha, roho yangu akairusha
alininyanyasa, alinitesa,
nikiwa sina raha, roho yangu akairushaaaaaaaa
yeah, iyaaa, yeaaa iyaaaah aaaaah

Nasema Goooo! goooo! sikutaki teeeena!
Nasema Goooo! gooooo! sitaki kukuona!
Nasema Goooo! Go Go Go Go Go Gooooo!
Nasema Goooo! Go Go Go Go Go Gooooo!

[unasema goo mimi tena hutaki]
[unilipa raha mi nikachezea nafasi]
[roho inauma nimebaki kwenye daki]
[najiona mi mjinga kuipoteza hii nafasi]

Nasema Goooo! goooo! sikutaki teeeena!
Nasema Goooo! gooooo!