I'm the only one, only one for you
you're the only one, only one for me
I'm the only one, only one for you
you're the only one,
[[Tumaa]] Everything, everything is you
[[Tell me]], what you wanna I'll give to you
[[You're]], Number one, you deserve nothing less
you're.... eeeyo, eeeyo Ms Business!
[[Tumaa]] Everything, everything is you
[[Tell me]], what you wanna I'll give to you
[[You're]], Number one, you deserve nothing less
you're.... eeeyo, eeeyo Ms Business!
yo
Nahitaji unipe mapenzi, nahitaji utulie nami ma
Sihitaji ufanye ushenzi naogopa skendo mtaani ah
Isiwe tabu we unitese niteseke, wengi washanipa tabu
sitaki jamii inicheke
Naamini unanipenda, haya mapenzi wee huigizi ah
Ms Upanga nini unatakaLaazizi?
Hili piga mi sichoki siishi kukutazama
njoo tucheze ukutiukuti ukichoka kibaba mama
sema nikubebe ka ulichoka kutembea
acha waniite mpiga debe mayowe washasikia
3-2-1-0 acha roho ziwaume, zama zangu zishafika
acha nienjoy kidume
Mimi ni MR wewe ni MiSS, Haya twende kwa wazazi
Hapa mipango ya Harusi kimaisha tuanze kazi ha
sifa tabia, uzuri wa sura ni ziada
sifa nakumwagia haters tuwateke kwa rada riiight?
[[Tumaa]] Everything, everything is you
[[Tell me]], what you wanna I'll give to you
[[You're]], Number one, you deserve nothing less
you're.... eeeyo, eeeyo Ms Business!
[[Tumaa]] Everything, everything is you
[[Tell me]], what you wanna I'll give to you
[[You're]], Number one, you deserve nothing less
you're.... eeeyo, eeeyo Ms Business!
yo
Weekend tukale wapi, leo upumzike kupika ma
vicheche siwataki mi nawe kila dakika...sema
nini unataka kitandani nikupe raha
kwa ulimi ntakufuta mimi kwako sioni kinyaa
Nishadata kwako chizi japo makopo siokoti
nani kaleta mapenzi nimuhonge tu hizo noti
ni gold ama silver sema nini una shine?
kwa hizo swagger za ki diva, Im down for whatever
haunuki unanukia marashi yako so chill
hizo pozi ukitembea mi ntapiga we uki bail
akili unazo tele unyagoni hata hukupenda
usiku unapiga kelele wenzagu
haupendi kuniita baby we unapenda baby love
yes you're my first lady na na na all the above
when i got ya i feel like im young forever
for better or worse well we gon' be together riight
[[Tumaa]] Everything, everything is you
[[Tell me]], what you wanna I'll give to you
[[You're]], Number one, you deserve nothing less
you're.... eeeyo, eeeyo Ms Business!
[[Tumaa]] Everything, everything is you
[[Tell me]], what you wanna I'll give to you
[[You're]], Number one, you deserve nothing less
you're.... eeeyo, eeeyo Ms Business!
Ok
K-I-S-S-I-N-G, Mi napenda sana unavosaka shillingi
Mi napenda ulivo hustler, tena huna papara
hapo ndipo umenshika akili, MS BUSINESS
Basi kila nikikuona moyo wangu BAM BAM!
Presha inapanda inantuliza na hilo penzi ham-tam
shawty, wanga dem dar nawapa pole Border Border
tumeshavuka