aahhh, yeah
watsup, hahaha
zilla in the house
yeah
watsup, hahaa
Chali in the house, zilla in the house
welcome to my hood man, woooo
yeah.....watsup!
mtaani tunaishi kama maninja, ukizingua dakika 2 washakuchinja! ah
kuna mablaza men pia mapedeshee, kwenye kona pale asee kuna internet cafe!
ma hardcore!, wamejazana usiseme, all stars zimeanikwa juu ya nyaya za umeme!
maisha kuwindana sio peace kama heaven, machizi wanatafutana na ma AK 47!
issue kufanyiana sio kutiana vitisho, ni swala la kawaida kusikia milio ya pistol...yeah
huwa namshukuru mungu kila siku inapokwenda,
na huwezi pita siku bila kuibukiwa na defender
watu tokea zamani, wana roho za ki master,
kila siku ni scandal nyumba za watu zimepigwa chata.
mahustler, though wanaishi ki VIP, na waliokufa nigga tushawapa RIP
Kila siku watu busy kama NYC, Hatuna bar kwenye hood kama chialee
salasala yes nigga its my hood for sure, ni place ambayo sjawahi kuwa before
watsup!
thanks god round hii niko home, ah ah ah, ahhh
karibu kwenye zila kingdom, hata kama show free, nita'perform
westside salasala is the hood that im from...wooo
thanks god round hii niko home, ah ah ah, ahhh
karibu kwenye zila kingdom, hata kama show free, nita'perform
westside salasala is the hood that im from...wooo
salasala ipo ndani ya wilaya ya Kino
kuna mahustler wenye roho mbaya kama walatino
true story man, nah wala sio vitisho
njoo umuone zilla anavyo smoke weed kwa Kiko
njoo kwa hekima, nakupa tahadhari
kila uchochoro ukipita wanacheza kamari
kuna wakabaji wanapiga ngumi kama Bondia
dili zote utapata mpaka pesa bandia
kuna wamama wadada na masista duu
ukiwacheki kwa mguu wana godzilla tattoo
na mavazi ya kinyamwezi kama tuko majuu
ukitaka Bifu na mtu speak bila me and you
kwa njia za shortcut, watu wanapata mkwanja
ukiwaona wanamabegi ujue ndani yamejaa Ganja...yeah
Masela hawaishii kuvuta fegi,
Album zinaenda sokoni hatuuzi tapes kwenye mabegi
watsup!
thanks god round hii niko home, ah ah ah, ahhh
karibu kwenye zila kingdom, hata kama show free, nita'perform
westside salasala is the hood that im from...wooo
thanks god round hii niko home, ah ah ah, ahhh
karibu kwenye zila kingdom, hata kama show free, nita'perform
westside salasala is the hood that im from...wooo
watsup, I said........Chali in the house
Let me, Let me, speak something man...\
watsup!...
Man, i said welcome to my hood.....
and when i step in, you nigga you better step out
its think its getting funny, nigga
Zilla in the house, watsup! Salasala in the house, yo! Chali in the house
watsup baby
ah ah ah ahhh, ah ah ah ahhh, yeah man! ah ah ah, ahhh
hahahaha
yeahaa
hahahahahah
This is my hood man, yo Chali! watsup!
Yeah!